ROMA ni Msanii wa ovyo. Aambiwe maua wanapewa wanawake

ROMA ni Msanii wa ovyo. Aambiwe maua wanapewa wanawake

Hip hop sio kama mata** Kila mtu anayo....
Hizi ni liberation struggle machoni pa waTz

Na kawachana mnajipendekeza Ili mpate uteuzi.....

Nimekunukuu
[emoji116]
"Hizi nyimbo za roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza"
Hapo mwenyewe ndio umefikiria hadi mwisho?
 
Ndiyo hivyo yeye ameshaimba na wewe usiyemwelewa/usiyempenda umeshaanzisha uzi wa kumdiscuss na yeye amepata tena attention toka kwa mtu kama wewe usiyemwelewa/usiyempenda....another day another milestone for him.... Life goes on....
Mchungaji akikemea pepo huwa analipa attention?
 
.....Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.

Hizi nyimbo za roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
kuna ambao walisema hata CCM ikiweka jiwe kwenye uchaguzi litachaguliwa....
Hakuona ni shida hapo?
 
Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.

Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.

Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention

Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.

Hizi nyimbo za roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Wewe ndo msanii wa hovyo uliobebwa na ajenda za kutetea wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani katika wasanii wote bongo Roma ni my favorite artist….[emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253]
Mnafanana akili
 
Back
Top Bottom