Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #81
Size? M,L,X,XL?Dar mkuu
XLSize? M,L,X,XL?
Nimecheki hapa XL zimeisha, vipi L itakutosha?
Huwa na sikiliza NGOMA ZAKE, he is blessed for sure.....Yani katika wasanii wote bongo Roma ni my favorite artistโฆ.๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐ฝHuwa na sikiliza NGOMA ZAKE, he is blessed for sure.....
Listening ๐ง
Mkomboz_Roma mkatatoliki
He's blessed? Haya maneno mnayatumia vibayaHuwa na sikiliza NGOMA ZAKE, he is blessed for sure.....
Listening [emoji442]
Mkomboz_Roma mkatatoliki
Hawa kina contriwide ni WASAKATONGE....๐๐ฝ
Wewe nani asiye jua kua ni MSAKATONGEHe's blessed? Haya maneno mnayatumia vibaya
Usilo lijua ni kua boda boda na bajaji wana piga nyimbo zake na wimbo una tembea kama casual burning ๐ฅต๐ฅต๐ฅต๐ฅ๐ฅHuwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.
Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.
Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention
Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.
Hizi nyimbo za roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Usiposaka tonge utasaka nn?Wewe nani asiye jua kua ni MSAKATONGE
Bodaboda za wapi?Usilo lijua ni kua boda boda na bajaji wana piga nyimbo zake na wimbo una tembea kama casual burning [emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji91][emoji91]
Soma tena ulichoandikaHuyo country wide naona NJAA imezidi naomba nimpe kazi ya [emoji536] house girl akiwa tayar ntamlipa take home 1.5m
Nssf na WCF zote nalipa Mimi....
OGOPA SANA NJAA IKIHAMIA KICHWANI.....
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Wasalaam
Kwa Sasa
+267
Kitu pekee unacho nizidi ni UJINGA NA UMASKINISoma tena ulichoandika
๐Nimesoma Mara mbili mbili lakini nimeona umeandika upumbavu tu.
Endelea kusikiliza taarbu, nyimbo za Roma si kwaajili ya mashogerHuwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.