Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Let me log off maana unaweza jikuta unapata BAN Kwa mada kama hizi....Endelea kusikiliza taarbu, nyimbo za Roma si kwaajili ya mashoger
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Binafsi sijawahi mpenda huyo msanii hali kadhalika hata kuupenda mziki wake. 🤣🤣🤣Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.
Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.
Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention
Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.
Hizi nyimbo za roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Kabla sijakujibu naomba unitajie nyimbo nzuri upande wako ni ipi? nipe mfano wa nyimbo hiyo nzuri ni kama ipi alafu nitakujibuUzuri wa hizo nyimbo ni nini? Ni kweli watu tumetofautiana akili kwa kiwango hiki?
Kama humuelewi Roma Mkatoliki kwa nyimbo zake, wewe utakuwa Fisadi tu.!!Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.
Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.
Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention
Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.
Hizi nyimbo za roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Kwahiyo unasubiri jibu au sio?Huo uwezo wa kuchambua unao?
Huyu sio konde ni jamaa anajiita wapili🤣Sawa sawa konde boy
Hili swala lina ukwel semaa watabisha sana humuNyimbo 10 za Roma zinalingana na Career nzima ya FidQ.
Hivi nani alimpa ufalme wa hiphop
Wewe ni mjinga. na huna akiliHujawahi kumiliki akili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo mnazidi kumvurugaaa.Ila mwana kapime DNA sio poa kulea mbegu za watu