Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya Roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.
Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.
Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention
Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.
Hizi nyimbo za Roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.