ROMA: Nikisema Walichonifanyia baada ya kutekwa Hakuna mtu angekaa Karibu na mimi

ROMA: Nikisema Walichonifanyia baada ya kutekwa Hakuna mtu angekaa Karibu na mimi

Ye angewataja waliombozogoa ili wachukuliwe hatua. Kama anafanya siri sisi tunachukulia kama na yeye aliona utamu tu.
Nani wa kuchukua hatua?! Haya mambo tuliyasikia kwingine

Cairo's
 
Teh teh teh. Imebidi nipite kimya kiutu uzima wallah.
Kuna "komenti" za kihuni sana zilizochangia uzi huu, tena kutoka kwa watu "gt" kabisa yaan, Dah!
 
In maana duka limevunja haiwezekani[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my M2 using JamiiForums mobile app
 
dunia ina machungu yake?

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Haya usiseme, tumeshaelewa

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Wasanii wakibongo walio wengi ni mafala sana,hawawez kusimamia mawazo yao

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Waliomteka siku hizi wakiwa na hamu nae wanamteka kimya kimya. Dah, huko nyuma Roma hakuwa hivyo.
 
Mm binfsi Iwe mchana iwe usiku ningesema kwani sikutaka nilitekwa,acha waniue ningeacha alama Tz
 
Roma pole but msema ukweli Will put you free

bepari
 
Watu wooooote waliokutana na mikono ya wale majamaa huwa wakitoka wanapata nidhamu ya hali ya juu
 
Hata akiwa yeyote humu JF hawezi kusema wale viumbe wkimdaka coz nackia n MARINDA yanafumuliwa with alot of videos

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
hum wengi hushabikia ila ukikutana nacho ukimya utatawala pole romaaa

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom