ROMA: Nikisema Walichonifanyia baada ya kutekwa Hakuna mtu angekaa Karibu na mimi

Hicho alicho sema ni kikubwa kuliko hata icho ambacho hajasema.

Sent from my TECNO-H3 using JamiiForums mobile app
 
Etii kupoteza marinda maana yake nin? Mdau maana huwa nackia ila sielewi hyo kauli

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
kuingiliwa sehemu ya haja kubwa ...si unaona sehemu ya haja kubwa ikiwa kawaida inakuwa imejikunja kunja hivi.sasa mtu akiingiliwa panaachia na kulegea..ndo mana wanasema katatuliwa marinda
 
  • Thanks
Reactions: smy
kuingiliwa sehemu ya haja kubwa ...si unaona sehemu ya haja kubwa ikiwa kawaida inakuwa imejikunja kunja hivi.sasa mtu akiingiliwa panaachia na kulegea..ndo mana wanasema katatuliwa marinda
Duh! Aisee! Huyo hata constipation ana undergo kweli

Back
Top Bottom