Roma umeishiwa mpaka umeibia nyimbo ya jeshi??

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
kwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
 
ucjfanya kama wewe ndo pekee umeptia jkt na kjua mamba ya kijesh hkna wimbo wa jeshi unaoitwa zimbabwe bali zile nyimbo znaitwa nyimbo za kizalendo ikiwemo huo zmbambwe wadnganye wasiojua................!!!!!!! hizo ni CHENJA
 
iyo chenja jina lake ni nini?
 
Mda mwingne anasaidiwa kufikiri hizi kiki msimu zitamponza
Watu washahama huko km unadhani Roma anatafuta kiki utakuwa unajidanganya labda wewe ndie unatafuta kiki. Roma hajaanza leo kuimba nyimbo za aina hii hebu ondoeni uswiswiemu wenu hapa. Unajifanya una uchungu sanaaa na Roma huko kwenu hawajawahi kufa kujiponza ndio lugha gani nyie ndio unadanganywa na hotuba za hasira za kisanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu nadhani wewe kweli ulipitia jkt ila sijui op gani, lakini tukija kwenye suala la nyimbo haliwezi kuathiri kitu maana hizo ni tungo tu, pia zinaleta moral pindi mnapokimbia.
Sina maana ya kukuponda ila ulitaka kutujuza kwamba ulipitia huko na wengi wao wamujibu ndo wanaa wakati hawajui taratibu za jeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…