Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roma ana akili za kijinga sana.kwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
ucjfanya kama wewe ndo pekee umeptia jkt na kjua mamba ya kijesh hkna wimbo wa jeshi unaoitwa zimbabwe bali zile nyimbo znaitwa nyimbo za kizalendo ikiwemo huo zmbambwe wadnganye wasiojua................!!!!!!! hizo ni CHENJAkwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
iyo chenja jina lake ni nini?ucjfanya kama wewe ndo pekee umeptia jkt na kjua mamba ya kijesh hkna wimbo wa jeshi unaoitwa zimbabwe bali zile nyimbo znaitwa nyimbo za kizalendo ikiwemo huo zmbambwe wadnganye wasiojua................!!!!!!! hizo ni CHENJA
Watu washahama huko km unadhani Roma anatafuta kiki utakuwa unajidanganya labda wewe ndie unatafuta kiki. Roma hajaanza leo kuimba nyimbo za aina hii hebu ondoeni uswiswiemu wenu hapa. Unajifanya una uchungu sanaaa na Roma huko kwenu hawajawahi kufa kujiponza ndio lugha gani nyie ndio unadanganywa na hotuba za hasira za kisaniiMda mwingne anasaidiwa kufikiri hizi kiki msimu zitamponza
achakpotosha umma hkna nyimbo ya jeshi la tanzania inayoitwa zimbabweiyo chenja jina lake ni nini?