Roma umeishiwa mpaka umeibia nyimbo ya jeshi??

kwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
Huo sio wimbo wa jeshi kijana fatilia historia ya huo wimbo ndio utajua sio sababu ulikalishwa chini ukaimbishwa basi unadhani ni wimbo huo ni mali ya jeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ucjfanya kama wewe ndo pekee umeptia jkt na kjua mamba ya kijesh hkna wimbo wa jeshi unaoitwa zimbabwe bali zile nyimbo znaitwa nyimbo za kizalendo ikiwemo huo zmbambwe wadnganye wasiojua................!!!!!!! hizo ni CHENJA
Kweli mkuu anadhani ye ndio kapita jkt au jeshi pekew yake. Itakua alikua anajiburudisha hakujifunza nn maana ya kua mzalendo pia anachanganya na kitu kinaitwa ukombozi. Kuna nyinbo jeshini ziliimbwa kwa sababu maalum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ningelikuwa Roma, ningefanya maujanja kucover ule Wimbo wa 'mikono juu mwendo wa mateka' wa madogo wa moto kombat. Bora aifanye situation Iwe funny kwa manufaa ya kibiashara kuliko kuwa serious nayo ivo bila faida yoyote ya maana
 
Asee!! Mkuu ulikua kambi gani? Mbna umetoka bado Nanga kiasi hicho...??
Nani kakuambia kuwa CHENJA ni mali ya jeshi? Zile ni nyimbo za kizalendo mkuu So sijaona tatizo la Roma Kuimba vile...Mbona kuna baadhi ya Chenja raia wanaziimba hata katika kushangilia mpira huko Uraiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
nakusahihisha tu mkuu jeshini haziitwagi nyimbo bali chenja

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
kwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
So...!!!
 
Nanga shapu katika thread

Hivi huko jeshini huwa wanachana/rap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…