mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
mbona baba yako watu wametatua marinda huhadithii?Roma mbona haadithii kuwa aliliwa kiboga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona baba yako watu wametatua marinda huhadithii?Roma mbona haadithii kuwa aliliwa kiboga!
Huo sio wimbo wa jeshi kijana fatilia historia ya huo wimbo ndio utajua sio sababu ulikalishwa chini ukaimbishwa basi unadhani ni wimbo huo ni mali ya jeshikwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
Kweli mkuu anadhani ye ndio kapita jkt au jeshi pekew yake. Itakua alikua anajiburudisha hakujifunza nn maana ya kua mzalendo pia anachanganya na kitu kinaitwa ukombozi. Kuna nyinbo jeshini ziliimbwa kwa sababu maalumucjfanya kama wewe ndo pekee umeptia jkt na kjua mamba ya kijesh hkna wimbo wa jeshi unaoitwa zimbabwe bali zile nyimbo znaitwa nyimbo za kizalendo ikiwemo huo zmbambwe wadnganye wasiojua................!!!!!!! hizo ni CHENJA
Hao wanajeshi wana copyright ya hicho kibwagizo???kwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
Post bora katika Uzi huu.Another outstanding display of stupidity!
- KANA -
Kama aliliwa kwa lazima si kosa lake na hapa unathibitisha ulivyoshiriki upumbavu. Si bora yeye kalazimishwa kuliko Mkuu Wa mkoa anayeliwa kwa hiari!!Roma mbona haadithii kuwa aliliwa kiboga!
thumb downkwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
Ha ha ha ha... Noma sana.Kuna thread ukiziona unajua kuwa Mungu alimuumba mtoa mada na akili lakini binadamu wenzie wamefanikiwa kumtoa hizo akili na kumwachia akili za kutambua njaa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
nakusahihisha tu mkuu jeshini haziitwagi nyimbo bali chenjakwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
So...!!!kwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika