Kuna watu wanabisha kuwa hiko kiitikio cha ZIMBABWE jamaa kaiba nyimbo ya mchakamchaka majeshini,na wao wanajifanya kuitafsiri vinginekwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
Team DAB hao.....Mtoa Mada Anataka kutuaminisha anavyowaza yy ndio sahihi akili za kuambiwa changanya na zakwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi lenyewe siku 180 tu, je waliopiga siku 365 wasemeje?....hahahahahhahaahah kwa iyo wewe umepitia jeshi lolote la tz na bado hujui kuandika ? osalale kama ndio ivi safari ni ndef sana uwezo wako wa kufikiri una walakin jamaa
Mkuu,umetishaKama aliliwa kwa lazima si kosa lake na hapa unathibitisha ulivyoshiriki upumbavu. Si bora yeye kalazimishwa kuliko Mkuu Wa mkoa anayeliwa kwa hiari!!
Sent using Jamii Forums mobile app
We nayee ndo walewalee....Le Akili Ndogoz......Mwili Kibanda Cha M-pesaKuna watu wanabisha kuwa hiko kiitikio cha ZIMBABWE jamaa kaiba nyimbo ya mchakamchaka majeshini,na wao wanajifanya kuitafsiri vingine
Ahahahahahahhahha afadhali umemzodoaucjfanya kama wewe ndo pekee umeptia jkt na kjua mamba ya kijesh hkna wimbo wa jeshi unaoitwa zimbabwe bali zile nyimbo znaitwa nyimbo za kizalendo ikiwemo huo zmbambwe wadnganye wasiojua................!!!!!!! hizo ni CHENJA
Kweli isije kuwa hajapata riziki ya sikuUmekula lakini swahiba?maana kwa hali ilivyo tete tunaweza kukulaumu kumbe mwenzetu una jambo tofauti.
Hapo sasa angesema walinitia gogo nyumaRoma mbona haadithii kuwa aliliwa kiboga!
Nenda tuUnataka niende jeshini nika urecord??