Roma umeishiwa mpaka umeibia nyimbo ya jeshi??

Roma umeishiwa mpaka umeibia nyimbo ya jeshi??

ZIMBABWE ni jina tu.......
Mbona BOB MARLEY aliimba wimbo na ukaitwa ZIMBABWE?
Kwanini Ulalamike WEWE??? Mwache MUGABE alalamike..
Pole SANA Kwako......
HONGERA SANA rOMa.....
[HASHTAG]#ROMAZIMBABWE[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa wale waliopitia jeshini hata jkt watakuwa wanaojua iyo nyimbo maarafi zimbabwe,ambayo jamaa ameiiba na kuiboresha au anataka wanajeshi wampige mkwara adai wanaonewa?? Maana hata kwa verse anadai aliemteka alikuwa soldier anauhakika
Kuna watu wanabisha kuwa hiko kiitikio cha ZIMBABWE jamaa kaiba nyimbo ya mchakamchaka majeshini,na wao wanajifanya kuitafsiri vingine
 
hahahahahhahaahah kwa iyo wewe umepitia jeshi lolote la tz na bado hujui kuandika ? osalale kama ndio ivi safari ni ndef sana uwezo wako wa kufikiri una walakin jamaa
 
hahahahahhahaahah kwa iyo wewe umepitia jeshi lolote la tz na bado hujui kuandika ? osalale kama ndio ivi safari ni ndef sana uwezo wako wa kufikiri una walakin jamaa
Jeshi lenyewe siku 180 tu, je waliopiga siku 365 wasemeje?....

-Domhome-
 
Achen uchochez mbn hizo nyimbo tumeimba mchakamchaka mashulen ni nyimbo za morali tu msikaze vichwa ila pale kwenye kutekwa na slder nahis kakosea bt anajua anachokifanya

truth=freedom
 
yaani kuna baadhi ya vichwa unatakiwa kujiuliza mara mbili mbili kama kweli vina ubongo kweli au lah!!!
 
ucjfanya kama wewe ndo pekee umeptia jkt na kjua mamba ya kijesh hkna wimbo wa jeshi unaoitwa zimbabwe bali zile nyimbo znaitwa nyimbo za kizalendo ikiwemo huo zmbambwe wadnganye wasiojua................!!!!!!! hizo ni CHENJA
Ahahahahahahhahha afadhali umemzodoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda Jesha La Kunzia 2013 Lenye Nyimbo Za Mungu Wa John Litakuwa Jeshi La Kijinga Sana Ila Tulioimba Wimbo Wa Zimbabwe Hamnga Mambo Ya Kutekana Kishamba.
 
Back
Top Bottom