Kuna watu hawana huruma kabisa.
Yaani watu wanavyotumbuliwa mchana kweupe alafu mnataka Roma aimbe nyimbo za kumkosoa jamaa wa magogoni ebooo mtaenda kumpelekea chakula Gerezani akiwa na kesi ya uchochezi?!
Kuna mahali anasema "nakomba pesa zote nasepa kama lowasa"Roma alitisha enzi za president na ile ya mwanzo aliyo mshirikisha Jos Mtambo! K ni nyimbo ya kikuda