Roma wa K vs Roma wa mathematics

Roma wa K vs Roma wa mathematics

Kuna watu hawana huruma kabisa.

Yaani watu wanavyotumbuliwa mchana kweupe alafu mnataka Roma aimbe nyimbo za kumkosoa jamaa wa magogoni ebooo mtaenda kumpelekea chakula Gerezani akiwa na kesi ya uchochezi?!
 
AMEAGA KWAO
 
Iyo gavumenti ni moto wa kuotea mbali ukitia pua tu haukawii kuwa mchochezi unachezea mvua mungu hapendi, neng'enekea mbali huko na k zako hapana chezea bulldozer!
 
Roma alitisha enzi za president na ile ya mwanzo aliyo mshirikisha Jos Mtambo! K ni nyimbo ya kikuda
Kuna mahali anasema "nakomba pesa zote nasepa kama lowasa"
Huyo ndo alikuwa Roma
 
Back
Top Bottom