Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Chukua hii toka kwangu "Mziki ni bidhaa ukiona wewe haikufai/haifai basi kuna watu inawafaa, fashion ngapi zinatoka na wewe hujapenda kununua?,au vingapi vimetoka pia wewe umependa na ukaamua kununua mfano hiyo simu yako hapo.
Ila Asante Kwa ujumbe wako watapita hapa na wataona kama itawafaa watakujibu ila binafsi nimekupa kutoka kwangu.
Kuna watu baadhi hawalielewi hili
Kwenye mafanikio ya muziki na industries zingine. Unatakiwa kuwa na talent lakini pia uwe na ujuzi na maarifa ya kibiashara ili kupata commercial success
Hili ni moja kwa case ya linex lakini kingine kuna baadhi ya wasanii huwa hawawezi fit na aina ya muziki unaovuma kwa kipindi flani mfano Neyo alikuwa musical genius wa RnB Ila baana ya, aina hiyo kubadilika lakini pia kupungua influence na neyo pia akapotea kwa kushindwa switch kwa muziki mpya
Hili nalo linamsumbua linex, kwa sauti na lyrics zake ni ngumu kufit na new generation, angebadili Tu target zake kutoka mainstream kwenda kwenye niche zile za watu wanaojua muziki mzuri kama anavyofanya damian soul au grace matata