Roma, Wakazi na Linex ni mfano wa watu waliopishana na vipaji vyao!


Kuna watu baadhi hawalielewi hili

Kwenye mafanikio ya muziki na industries zingine. Unatakiwa kuwa na talent lakini pia uwe na ujuzi na maarifa ya kibiashara ili kupata commercial success

Hili ni moja kwa case ya linex lakini kingine kuna baadhi ya wasanii huwa hawawezi fit na aina ya muziki unaovuma kwa kipindi flani mfano Neyo alikuwa musical genius wa RnB Ila baana ya, aina hiyo kubadilika lakini pia kupungua influence na neyo pia akapotea kwa kushindwa switch kwa muziki mpya

Hili nalo linamsumbua linex, kwa sauti na lyrics zake ni ngumu kufit na new generation, angebadili Tu target zake kutoka mainstream kwenda kwenye niche zile za watu wanaojua muziki mzuri kama anavyofanya damian soul au grace matata
 
Dah.. hivi Mkuu unajua mziki vizuri kweli? Huyo Wakazi sijawahi kumfuatilia, hata ukiniuliza kaimba wimbo gani sijui kwakweli, ila kwa hao wawili uliowataja.. hao ni Wanamziki parceee... sio wasanii, ni MUSICIAN...
Bingo, exactly my thoughts as well.
 
Sunday ni Vocallist wa kiwango cha juu mno,mno!
 
Roma ana kipaji? Wakazi ana kipaji?
Kidogo linex, lakini nae ana sauti ya bangi tu
 
Kwako wewe mafanikio yanakuwa equated na nini Pesa ?

Yaani unajua katika dunia hii ni asilimia ngapi wanajaribu hata wazazi wao tu hawasikilizi wanachofanya au hata watoa kazi bure kama zawadi watu wanazitupa alafu unakuja hapa unasema mtu ambaye ameweza kusikilizwa na watu hadi wewe kumjua na kumjadili kwamba anachofanya hakina vigezo ?!!!!

Kweli !!!?? Unaweza ukafanya comparison na mwingine unaweza ukawa critic kwamba unacholishwa hakikupendezi ila kumwambia mwingine anachofanya anapotea na akiache wakati uki-compare na wengine amefika mbali unakuwa unapotoka to say the least.... Ningekuelewa kama ungesema wakiweza kwenda juu zaidi kwa kutengeneza vizuri zaidi (Unfulfilled Potential) ila wafanye hivyo kwa faida ya nani ? Mwisho wa siku mtu ni kufanya kila anachopenda na sio kuwa slave wa circumstances au kufanya kitu ili kufurahisha jamii....
 
Sijui kuhusu hao wengine ila Linex naona hastahili kuwa hapo. Sauti yake ile naipenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…