ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mrisho Mpoto ni chawa mwandamiziPia ongezea Stamina na Mrisho mpoto. Sema Mrisho mpoto ni mjanja ameligundua hilo mapema kwenye mziki amejiweka nusunusu pia amejiingiza kwenye uhamasishaji wa mambo mbalimbali kama ya siasa anapiga madili.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chawa PromaxMrisho Mpoto ni chawa mwandamizi
Unataka waache mziki waje kula kwako?Awa ni watu walio kwenye muziki muda mrefu lakini kiuhalisia sio wasanii. Wanaupenda sana muziki lakini hawakuzaliwa kuwa wanamuziki.
1. Roma
Huyu jamaa ana kipaji chake ambacho uwa nikimsoma twitter nakiona. Mshikaji ni content creator wa level kubwa sana alafu ni ile natural sio wa darasani. Aina hii ya kipaji uwa kujipata ni ngumu kwa dunia ya tatu ila Roma ukimuweka nyumba yoyote ya ubunifu wa maudhui ni pesa. Muziki kiukweli mshikaji anafosi tu sio sehemu yake na watu walimpa sikio sababu ya content zake sio ile sanaa ya muziki. Akiweka uko nguvu ataiona pesa mara 10 ya muziki anaoukomalia.
2. Wakazi
Huyu ni msanii ambaye kama juhudi ndio njia ya kupata mafanikio basi angekuwa zaidi ya kina Rayvanny. Anapenda sana muziki especially hip-hop ila kipaji chake huko ni kidogo ni jambo ambalo amekuwa akili-deny lakini atakuja kubali baadae sana. Huyu ana talent ya kuanzisha mijadala, kufanya presentation na kuchimbua vitu visivyo zungumzika. Angekuwa anachukua ushauri wa wenye akili angeamia kwenye utangazaji haswa niche ya controverse ni ndani ya miezi mitatu atakuwa ni talk of the town. Ile attention wanampa twitter itaaamia mtaani.
3. Linex
Huyu dogo wa Kigoma angestaafu kuimba aamie kwenye kipaji chake halisi cha kuongea. Jamaa ni muongeaji mzuri na sehemu anayofiti zaidi ni mapenzi. Anaweza kuwa vyote mtangazaji wa vipindi vya mapenzi na mtoa mada kwenye events za mahusiano. Sijamfollow sehemu yoyote ila uwa nakutana na clip zake au screenshots akizungumzia mapenzi naona kabisa huyu anapishana na hela. Duniani hakuna niche inayouza kama mapenzi kuna hela za kutosha.
Nikipata time nitanzungumzia Vannila wa Ali Kiba pia.
Acha nirudi kwenye maokoto sasa.
Kumbe nyie ni ndugu bhana,yaani wewe mke,huyo mume halafu na mtoto wenu,mnaleta mambo yenu humu?Pole, sikujua ni Baba yako.
Pole, sikujua ni Baba yako.
Kwahiyo wewe ni mke wa baba
Kupitia huu mtiririko wenu wa maelezo, nadhani jibu sahihi hapa ulilotakiwa kumpa ni:-Nikupe jibu gani???
Nyota nyota nyotaAwa ni watu walio kwenye muziki muda mrefu lakini kiuhalisia sio wasanii. Wanaupenda sana muziki lakini hawakuzaliwa kuwa wanamuziki.