Muache kupenda vya bureNenda kwenye account yake ya Instagram huko iko mbele kidogo, ila nako alianza hii story vizuri kabisa na watu tukaifuatilia vizuri then akatokomea toka mwezi March hadi leo hii ametuachia manyoya
Kama anauza story ni bora awe muwazi na sio kutuachia manyoya na kusingizia yuko bizeMuache kupenda vya bure
Ikopi upest uku mzee baba sisi wengine hatujafungua account uko naskia liba yao ni kubwaKatika ukurasa wake wa Instagram iko mbali nendeni kule
nahunga mkono hojaKumbe huyu mwamba Roman Abramovich ni hatari na mtu mwenye akili nyingi kiasi hichi..ndio maana chama letu la Chelsea tangu aichukue imekua na mafanikio Sana sio Sana tu ni zaidi ya sana.makombe mengi likiwemo la Uefa kumbe akili zote ni zake
Nenda kajiunge whatsapp grup yake kule kila kitu unapata bila mateso acha kuteseka hapaKama anauza story ni bora awe muwazi na sio kutuachia manyoya na kusingizia yuko bize
Duuuh ukizinguwa watu wanaleta mwendelezo Aiseee jf kibokoKatika ukurasa wake wa Instagram iko mbali nendeni kule
Insta nayo kafungaDuuuh ukizinguwa watu wanaleta mwendelezo Aiseee jf kiboko
Instagram yake story iko mbali...Tuungane kudai sehemu ya sita. Make so kwa arosto hii
Anatumia jina gani insta??Instagram yake story iko mbali...
Ni bora hapa awe anaweka intro tu, then anaweka price ya story yote kama ni elfu 5, then kama uko interested unamfollow whatsapp unalipa then unapata story yote...or aweke katika hardcopy tununue vitabu...lakini sio kama anavyofanya hapa anaweka story nusu then anapotea kabisa bila kutoa notification muendelezo wa story tunapata wapi, akirudi anakuja na story mpya kabisa. Mfano The Other half na Vipepeo Weusi part 2Nenda kajiunge whatsapp grup yake kule kila kitu unapata bila mateso acha kuteseka hapa
The bold njoo hukuNawakumbusha wale wote mnaosubir story msipende kitonga au mteremko
Huyu ndio the Bold anawaonjesha mpambane na hali zenu zipo google hizi stori wengi wenu wavivu kusoma ile lughya ya pale GreenwichNi bora hapa awe anaweka intro tu, then anaweka price ya story yote kama ni elfu 5, then kama uko interested unamfollow whatsapp unalipa then unapata story yote...or aweke katika hardcopy tununue vitabu...lakini sio kama anavyofanya hapa anaweka story nusu then anapotea kabisa bila kutoa notification muendelezo wa story tunapata wapi, akirudi anakuja na story mpya kabisa. Mfano The Other half na Vipepeo Weusi part 2