Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Nenda kwenye account yake ya Instagram huko iko mbele kidogo, ila nako alianza hii story vizuri kabisa na watu tukaifuatilia vizuri then akatokomea toka mwezi March hadi leo hii ametuachia manyoya
Muache kupenda vya bure
 
Kumbe huyu mwamba Roman Abramovich ni hatari na mtu mwenye akili nyingi kiasi hichi..ndio maana chama letu la Chelsea tangu aichukue imekua na mafanikio Sana sio Sana tu ni zaidi ya sana.makombe mengi likiwemo la Uefa kumbe akili zote ni zake
nahunga mkono hoja
 
Nenda kajiunge whatsapp grup yake kule kila kitu unapata bila mateso acha kuteseka hapa
Ni bora hapa awe anaweka intro tu, then anaweka price ya story yote kama ni elfu 5, then kama uko interested unamfollow whatsapp unalipa then unapata story yote...or aweke katika hardcopy tununue vitabu...lakini sio kama anavyofanya hapa anaweka story nusu then anapotea kabisa bila kutoa notification muendelezo wa story tunapata wapi, akirudi anakuja na story mpya kabisa. Mfano The Other half na Vipepeo Weusi part 2
 
Nawakumbusha wale wote mnaosubir story msipende kitonga au mteremko
 
Ni bora hapa awe anaweka intro tu, then anaweka price ya story yote kama ni elfu 5, then kama uko interested unamfollow whatsapp unalipa then unapata story yote...or aweke katika hardcopy tununue vitabu...lakini sio kama anavyofanya hapa anaweka story nusu then anapotea kabisa bila kutoa notification muendelezo wa story tunapata wapi, akirudi anakuja na story mpya kabisa. Mfano The Other half na Vipepeo Weusi part 2
Huyu ndio the Bold anawaonjesha mpambane na hali zenu zipo google hizi stori wengi wenu wavivu kusoma ile lughya ya pale Greenwich
 
Back
Top Bottom