Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

waiting for party 2
niongeze kwny tag list mkuu
 
tehteh [emoji3]
who know kuna siku tutakuja kusoma ya Oligarch BASHITE [emoji3] jinsi alivyojiweka karibu na rizione,mpaka ku brush viatu
sasa ni mmojawapo ya watu wazito [emoji3] TZ,,,,
Toa iyo takataka apa ww...unalinganishaje Tanzanite na kidongo chekundu!!!!...Infact it's a hollow head bas tu ni kwa vile ukipenda boga unapenda na ua lake Jiwe hana namna
 
The Bold mkuu umerejea kivingine kabisa!! Welcome back boss
 
karibu sana mkuu na Ontario aje pia jukwaa lilipoa sana kwenye biashara
 
Sehemu ya pili ikiwekwa yeyote tafadhali nitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…