Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Oligarch, next time ukitaka kuongea na mimi jambo usitumie lugha chafu au lugha kali... nakuheshimu mno. Tusijisahu kwa kuwa tumejificha nyuma ya keyboard...

Labda kama ulikuwa hujui... siruhusiwi na Jamii Forums kuweka haya maelezo unayopendekeza. Niliwahi kufanya hivyo tukaingia kwenye mgogoro mkubwa sana na JF na nisingependa tuvurugane tena. Wale wakongwe wanaonifuatilia tangu enzi hizo nadhani wanakumbuka.

Next time tumia lugha nadhifu maana sie wote ni watu wazima na mbaya zaidi hatujuani... tujiheshimu.
Awe muwazi ni bei gani na inalipiwaje kuliko chenga chenga kuuza story si ajabu ttzo wabongo tunaona kama tunajishusha mpaka utafute visababu ili ionekane si dhamira yako kuuza story ila uliombwa, nonsense
 
Lala mbele umeitwa hapa balance shobo basi hizi stori zipo Google zipo Yahoo zipo everywhere nenda kasome hukoo hapa tuachw tupambane na hali zetu KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE
 
Lala mbele umeitwa hapa balance shobo basi hizi stori zipo Google zipo Yahoo zipo everywhere nenda kasome hukoo hapa tuachw tupambane na hali zetu KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE
Wewe mtu ulipotelea wapi?
 
Afu ukicherewesha story ndo inanoga baraaa
 
Weka asbh hii
 
Pamoja sana mkuu ila binafsi ndio uzi wako wa kwanza nausoma mbali na kipindi kile unaongelea ishu za fx sijawahi kufatilia story yako yoyote sasa hapo ningejuaje matatizo yanayokupata ukiweka huo utaratibu?? Walau ungekuwa ume respond kwa wadau waliokuwa wanalisemea juu juu hlf nikaendelea kuwa na povu hapo ningestaili lawama, okay hayo tuyaache huo utaratibu tunaupataje?
 
Lala mbele umeitwa hapa balance shobo basi hizi stori zipo Google zipo Yahoo zipo everywhere nenda kasome hukoo hapa tuachw tupambane na hali zetu KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE
Matatizo uliyonayo yanakutosha,,, pambana nayo all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…