Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa Bwana Senior Oligach.Unataka nikupe info alafu nikwambie ukaitafute huko internet kama utaipata.??
Sema suuuuu nikuoe moja tu ya mfano. Nijibu tu nikuonyeshe mfano.
(Ila tukubaliane, nikikupa hiyo info na ukashindwa kuipata huko kwenye internent, tukubaliane kwamba ukishindwa kuipata kuanzia sasa utakuwa ukiniamkia kila tunapoonana kwenye nyuzi)
Nimekuelewa, nadhani aliyesababisha yote haya ni mtu aliyekuwa akipiga kelele kwamba story ndo imeisha so tukakojoe tukalale na wewe ukumuacha tu.Oligarch, wewe ndio sawa na mfano wa hadithi chura tuliyokuwa tunaambiwa utotoni... kabla maelezo hayajamaliza kutokewa anadakia. Mwishowe kaingia kwenye karai la mafuta ya moto ako na mapere mpaka leo.
Naamini unaongelea Abramovich kuwa Governor wa Chukokta.
Ndio kwanza tuko sehemu ya nane, ngoma bado mbichi kabisa. Nitaongelea huko mbeleni.
Nikukumbushe tu kipindi anaipata Sibneft hakuwa na cheo chochote kisiasa.
Huu mtori Oligarch... nyama ziko chini. Relax..
Sawa mkuu uniwie radhi Kam nitakuwa nimekukwaza kwenye comment yangu japo hoja yangu ilikuwa imelalia kwenye dhamira kwamba mtu analeta stori anaishia kati then anapotea mazima ingawaje na yenyewe si dhambi kwa sababu tunaishi kwa ajili ya kutafuta kipato by any means unayoipata.Kilama, heshima yako mkuu...
Oligarch nilisema hapo mwanzo mkiona niko kimya mjue nimebanwa na majukumu.
Siwezi kukimbia story yangu mwenyewe. Nitaweka Episode ya tisa ikiwezekana leo usiku.
Kumradhi na tuwe tuna sameheana bure. Kuna muda majukumu yanakuwa mengi hata simu huwezi shika. Kwa mfano ndani ya wiki moha oliyopita leo ndio kwa mara ya kwanza nalogin JF.
Anyaways, tukutane leo usiku...
Sawa mkuu uniwie radhi Kam nitakuwa nimekukwaza kwenye comment yangu japo hoja yangu ilikuwa imelalia kwenye dhamira kwamba mtu analeta stori anaishia kati then anapotea mazima ingawaje na yenyewe si dhambi kwa sababu tunaishi kwa ajili ya kutafuta kipato by any means unayoipata.
Lakini pia natambua upendo wako wa kipekee kutuletea story ya namna hii for free wakati ulikuwa na uwezo wa kuiuza na maisha yakasonga mbele.
Nitajitahidi kukusuport mkuu kwenye namba yako japo buku tano kwa mwezi si pa kitoto ukiipigia bajeti. Nishauri kama unaweza kuishusha kidogo uongeze mzunguko mkuu.
Gharama zilipungua au zilibaki palepale?Hakuna shaka mkuu,
Kuna makala mbili tu ambazo ziliishia kati. The Richest Man na Ujasusi Sebuleni kwetu, nilitoa maelezo kwa nini sikuendelea nazo.
Nashukuru kwa kuniunga mkono.
Lakini mkuu hii ya whatsapp imekaajekaaje? Haiwezi ikawa unalipa buku tano (kama hakuna mabadiliko) kwa mwezi ukaambulia stori moja au yenyewe isiishe?
Gharama zilipungua au zilibaki palepale?
sawa Bwana Senior Oligach.
Leta info.
waiting for the next episode
Naomba na mimi unitag wakat ujao
Naisubiri kwa hamu hapaBila shaka mkuu... leo jioni kutakuwa sehemu ya tisa
NAIPATAJE WHATSAPP GROUP YAKO BOSSBila shaka mkuu... leo jioni kutakuwa sehemu ya tisa
kuna usemi wao unasema hivi " if everything is mafia,nothing is mafia"Ngoja niwe mafia
Haziwezi kupungua mkuu labda zipande. Lakini kwa sasa ni ile ile elfu tano
NAIPATAJE WHATSAPP GROUP YAKO BOSS
Mimi niko uku kwenye nchi ya watu na nahitaji niwe kwenye group lako mkuu
Naisubiri kwa hamu hapa
Mkuu najiungaje kwenye grouo yako???Hakuna story ambayo haiishi kwenye group. Kule premium so lazima upate vitu Premium.
Mfano hii ya Abramovich kule ishaisha.
Ujasusi Sebuleni kwetu ishaisha.
The Richest Man tuko Episode 9
Leo hii tunamalizia makala inayohusu Utata wa Watoto wa Mtawala wa Dubai aliowafunga ndani ya jela kwenye kasri la Zabeel. (Undani wa kwanini mkewe ametoroka miezi miwili iliyopita)
Vipeoeo Weusi season 2 tuko Episode 71
Pia tuna Simulizi mpya inaitwa Shah Tazamon iko sehemu ya Tano.
Hii ndio shughuli yangu mkuu. Naandika, nalala, naamka, naandika tena. Kila siku, mwaka mzima, miaka yote.
And elfu tano ni ndogo sana chief, kuanzia tarehe 1 January nitaongeza kiduchu.
Mkuu najiungaje kwenye grouo yako???