Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
Nikawa najiuliza tangulini mswahili akawa na utaratibu wa kuzingu JF wanatoa HABARI kwa bure kwa kushirikiana na wanachama wake Sasa hii taratibu ya mtu kujifanya mwema anajali wengine atatoa habar bure Mara kabanwa Mara Kule wasap story ilishaisha huku Mara jf hawataki niweke matangazo ya kuuza story.
Sasa Kama haujiuzi kiuandishi kwann haumaliz stori zako? Mbona unakomalia mchango?
Hapa n jukwaa huru unaweza post au usipost haulazimishwi ila hz Mambo za itaendelea mnasumbua watu akilizao.
Hili n jukwaa huru mzee hzo Mambo za wasap uache njoo na uz unauza Hadith utapata wateja
Mkuu ,wewe Lipa tu hiyo Pesa kidogo ukasome huko na sio kutoa Povu hapa.Na wewe haulazimishwi kusoma hapa ,sio lazima usome na kuchangia.
Jitahidi upate walau Busara ya kuwa na Subira. 😡😡