afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
typpe kwenye search bar unachotaka sasa...afande,nimejaribu ku search hiyo link ya www.kat.cr nikaona movies tu,vp km unaweza nisaidia link niende moja kwa moja kudownload mzigo wenyewe,au km utaweza nirushia huo mzigo wenyewe kwa njia yoyote, utakuwa umesaidia sn..!
Hell in the cell ponjoro atachezea kichapo cha haja,maana wale ma charlie chaplin wake awatokuwemo mle ndani,mle ndani ni ngoma mtu 2 tu,kuch kuch hotae ndipo atakapoijua rko ni kitu ya namna ganiHa ha haaaa Aya ngoja wapashe, maana alivorudi alifanikiwa kuchukua ka mkanda wa USA championship!
Mwenzake Rand anapigwa kila siku na yule muhindi Jinder Mahal, hata hili pambano wanalotegemea kupigana, (Something like hell in a cell) atapigwa tu
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Imeiona lini hii?nmeona match ya roman & samoa
akaingilia stuntman ndio match mpya?
Sent using Jamii Forums mobile app
week hii hii sikumbuki siku ,brown amefuga bandage bega mojaImeiona lini hii?
He he heeee, itakuwa ndo hy nadhan, sijaiona
amepigwa viti ,baby wangu Reigns[emoji22][emoji22][emoji22]He he heeee, itakuwa ndo hy nadhan, sijaiona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
asantee[emoji27] [emoji25] [emoji24] [emoji24] [emoji31] [emoji31][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole
Kazeekajamani ana miaka 40 ujue nowJohn Cena akaendelee na movie tu now anaboa tu wanambebabeba sana hata hana vitu vipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkali ni The Undertaker tu!Randy Oton Mhenga[emoji23][emoji23][emoji23].
ko,seth rolin,Aj nk sijamuona wa kumfikia roman reigns
Roman n mkazaji mzuri
mimi binafsi napenda mwanamieleka asieshindwa, asiepigana battle za uonevu, na cheat cheat kibao yani habahatishi...
asie vaa machupi , mfano reigns ana mavazi yake mazuri yanayomtambulisha kabisa sio mambo ya vichupi...
pia naangalia silaha za kumalizia ,mfano reigns ana ngumi yake ile akipiga huamki, Randy oton ana Rko, john cena anayo yake ,Dx michael shown alikuaga na teke nk
so Roman reigns ana hizo sifa yuko Fair, loyal ,mvumilivu anauzika nk
chunguza wana mieleka wengi wanaopendwa wana hizo sifa na sio wavaa vichupi. Mfano John cena ,rey maysterio nk
TECNO-C5 Wereva
We inaonyesha ulimpendea mavazi yake.Mieleka niliachaga zamani kuangalia kipindi hiko tunawapenda akina Jeff hardy, undertake ,D generation batista cena mysterio nk
lakini nilivokuja kutazama tena miaka ya hivi karibuni nikajikuta nampenda Roman reigns...
ina maana kwamba roman ana sifa za kuwa miongonj mwa wanamieleka bora kabisa wa kizazi hiki
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Mavazi kila mtu anavaa braza...
Sijui Kwann Roman hamuwez stuntman.. hii n game ya tatu Roman anapigwaaaanmeona match ya roman & samoa
akaingilia stuntman ndio match mpya?
Sent using Jamii Forums mobile app