Na ukifuatilia maelezo ya wale commentators wakat roman anapigana, huchelewi kuskia wanasema "A MAN WHO DEFEATED THE DEAD MAN"
Biff la undertaker na roman lilianza mwaka jana roman alimtoa nje ya ulingo kwenye wrestlemania na akashinda akawa bingwa, taker alikasirika wakaanza kutaftana wakapangiwa pambano kwenye Royal rumble ambayo roman alishinda! Lakini kabla ya hapo, wrestlemania ya mwaka huu roman alimtoa tena taker ulingoni!
Kwa wachezaji wa sa hizi, brawn strawman ndo mpinzani halali wa Roman
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.