Cwez kupngana na mawazo yko kiongoz, mm nna miaka zaid ya kumi na saba nikiw nnaifatilia hii michezo ktk kuifatilia nikaja kugundua kuna baadhi ya mambo wanaigiza lkn ktk swala la kupgana hasa uwanjan wakat wa kugombea mkanda uwa hakuna maigizo fatilia na ww mwnyew ktk ilo utagundua n ukwel na ktk zile ndoa ambazo uwa wanafunga pale uwanjan nazo kuna wakat uwa wanaigiza na kuna baadh ya mahusiano n ya kweli na yamedum kw kipnd kirefu mfano john cena na nicky bella ambao wanazaid ya miaka mitatu?
Kila kitu kimepangwa kabla , jaribu kuangalia Kwa umakini mkuu, ndo maana hii michezo haitangazwi kama habari , ni kama movie vile ..
Wachezaji wana chukua mda mrefu kufanya training ndo maana kugundua ni ngumu .. Ila WWE is fake na wamiliki wameshadhibitisha hilo
Hii ni wikipedia , ipitie