Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Unaposema aliweza kumchampa Undertaker mpaka akafloat sio sahihi. Watu wawili tu ndo waliweza kumchapa deadman mpka akashindwa kutembea mwenyewe.
Wakwanza ni Triple H pambano lao la kwanza Wrestlemania alimpiga mpka pambano lilipoisha Undertaker akaja kubebwa na Machela alishindwa kutembea mwenyewe though pambano Undertaker alishinda.
Wapili Ni The Beast Incarnate Bbbrooooooock Lesnar, huyu ndo mwanaume pekee katika Wrestling aliyempiga Undertaker na kumshinda katika Wrestlemania. Hata pambano lilipoisha alipotoka tu kwenye Ring akaangua na akashindwa kutembea kabisa ikabidi wamuwahishe Hospitali.

Sasa unaposema Reigns Ni bora kushinda hao nakuwa sikuelewi kabisa. Hata kwenye pambano lao mechi ilipoisha mwanaume Undertaker akatoka bira jeraha lolote na hakuwa na haja ya kupelekwa hospitali kama alivyofanywa na hao wengine, plus Reigns kila anapoingia kwenye uwanja anazomewa sana kwa sababu anabebwa sana na WWE kuna watu wanakipaji kushinda yeye pale sema kwa sababu ana sura ya Marketing ndo maana anapewa Push kubwa.
We kijana hujui maana ya ushindi.roman reing alimchapa hiyo mechi na akamshinda undertaker hivyo ni bora kuliko hata hao kina landy orton ambaye alichapwa mpaka akfloat na dingi yake pia akafuatwa akachapwa.na ni bora kuliko wengine ambao hawajawahi kumchapa undertaker

Kiufupi ni kwamba katika wresstlering ukiweza kumchapa the undertaker wengine wote hawakusumbui maana yule ndo alikua mbabe kuliko wote ktk zama hizi

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye finishing ukiresist ile ngumi ya roman basi anakumaliza na sphere! Hapo huamki!

Wamuulize vizuri undertaker anajua kilichomkuta kwenye Royal Rumble, sphere haijawahi kumwacha mtu salama

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Uko sahihi kabisa ndo maana wanamuita the young mashine.
f4f3b586f1df41705c80c4f6e95ea119.jpg

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi kabisa ndo maana wanamuita the young mashine.
f4f3b586f1df41705c80c4f6e95ea119.jpg

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Na ukifuatilia maelezo ya wale commentators wakat roman anapigana, huchelewi kuskia wanasema "A MAN WHO DEFEATED THE DEAD MAN"

Biff la undertaker na roman lilianza mwaka jana roman alimtoa nje ya ulingo kwenye wrestlemania na akashinda akawa bingwa, taker alikasirika wakaanza kutaftana wakapangiwa pambano kwenye Royal rumble ambayo roman alishinda! Lakini kabla ya hapo, wrestlemania ya mwaka huu roman alimtoa tena taker ulingoni!

Kwa wachezaji wa sa hizi, brawn strawman ndo mpinzani halali wa Roman

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Na ukifuatilia maelezo ya wale commentators wakat roman anapigana, huchelewi kuskia wanasema "A MAN WHO DEFEATED THE DEAD MAN"

Biff la undertaker na roman lilianza mwaka jana roman alimtoa nje ya ulingo kwenye wrestlemania na akashinda akawa bingwa, taker alikasirika wakaanza kutaftana wakapangiwa pambano kwenye Royal rumble ambayo roman alishinda! Lakini kabla ya hapo, wrestlemania ya mwaka huu roman alimtoa tena taker ulingoni!

Kwa wachezaji wa sa hizi, brawn strawman ndo mpinzani halali wa Roman

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Uko sahihi sana kwanza jamaa anajiamini sana na shoo yake huwa imechangamka knoma na anavyodress unaona huyo kamanda kweli.

yeah napenda watu wanaovaa kwa staha, sio vichupi chupi

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Na ukifuatilia maelezo ya wale commentators wakat roman anapigana, huchelewi kuskia wanasema "A MAN WHO DEFEATED THE DEAD MAN"

Biff la undertaker na roman lilianza mwaka jana roman alimtoa nje ya ulingo kwenye wrestlemania na akashinda akawa bingwa, taker alikasirika wakaanza kutaftana wakapangiwa pambano kwenye Royal rumble ambayo roman alishinda! Lakini kabla ya hapo, wrestlemania ya mwaka huu roman alimtoa tena taker ulingoni!

Kwa wachezaji wa sa hizi, brawn strawman ndo mpinzani halali wa Roman

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Hii ambayo alishinda Rand oton?

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Ndio hiyo, alimtoa undertaker akabaki na rand Orton na bryan wyatt, (kipindi hiki Rand akiwa bado kajiunga na the na the Royal family) akamtoa brayan wakati anarudi Rand Orton akamuwahi kwa RKO akashinda

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Hana cha ziada wwe wanambeba sana kwa sababu ya Marketing wise ana sura inayouzika na, kwenye wrestling side hana kitu cha kusema anawazidi akina Cezaro, KO, Randy Orton, Seth Rollins,AJ styles, Finn Balor
Kabisa... WWE wamezid kumbeba Reigns
 
Jamani ni subscribe wapi nione daily

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Hivi inahitaji akili ya nyongeza kujua kwamba kwenye huu mchezo huwa wanapanga matokeo..!?
Aisee..!
 
Ndio hiyo, alimtoa undertaker akabaki na rand Orton na bryan wyatt, (kipindi hiki Rand akiwa bado kajiunga na the na the Royal family) akamtoa brayan wakati anarudi Rand Orton akamuwahi kwa RKO akashinda

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Yes nmeiona

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Hivi inahitaji akili ya nyongeza kujua kwamba kwenye huu mchezo huwa wanapanga matokeo..!?
Aisee..!
braza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha labda mechi za maigizo.

mtu unapigwa mpaka unasanda afu unasema matokeo yanapangwa?

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa... WWE wamezid kumbeba Reigns
Hapana Reigns anajibeba mwenyewe, Wwe haibebi mtu
wengine wanasema eti ana sura ya mauzo, hivi Wwe huwa wanatafuta wana mieleka au watu wa kunywa nao chai?[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Unaposema aliweza kumchampa Undertaker mpaka akafloat sio sahihi. Watu wawili tu ndo waliweza kumchapa deadman mpka akashindwa kutembea mwenyewe.
Wakwanza ni Triple H pambano lao la kwanza Wrestlemania alimpiga mpka pambano lilipoisha Undertaker akaja kubebwa na Machela alishindwa kutembea mwenyewe though pambano Undertaker alishinda.
Wapili Ni The Beast Incarnate Bbbrooooooock Lesnar, huyu ndo mwanaume pekee katika Wrestling aliyempiga Undertaker na kumshinda katika Wrestlemania. Hata pambano lilipoisha alipotoka tu kwenye Ring akaangua na akashindwa kutembea kabisa ikabidi wamuwahishe Hospitali.

Sasa unaposema Reigns Ni bora kushinda hao nakuwa sikuelewi kabisa. Hata kwenye pambano lao mechi ilipoisha mwanaume Undertaker akatoka bira jeraha lolote na hakuwa na haja ya kupelekwa hospitali kama alivyofanywa na hao wengine, plus Reigns kila anapoingia kwenye uwanja anazomewa sana kwa sababu anabebwa sana na WWE kuna watu wanakipaji kushinda yeye pale sema kwa sababu ana sura ya Marketing ndo maana anapewa Push kubwa.
Taker kapigwa na lesnar na reign hamna mwingine

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Hivi inahitaji akili ya nyongeza kujua kwamba kwenye huu mchezo huwa wanapanga matokeo..!?
Aisee..!
Nachojua wanapanga match, nani apigane na nani, sasa who wins, I doubt if wanaweza kuwa na influence kubwa

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Walipigana kwenye wrestlemania Block na Roman,alichezea kichapo toka kwa Block lakini akakaza anakaribia kushinda Seth Rolin aka cash in money in the bank brief case akachukua mkanda wa heavy weight
Tuseme ukweli jamani Reigns anakaza ,hakupigwa walipigana tofauti na wenzie akina oton nk
sema tatizo la brock lesnar ni kama chizi halafu halina style ingine zaidi ya kuvunja watu migongo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Navyojua mimi Roman Reigns anajua anachokifanya katika mieleka.
Anajua kutengeneza na kuikuza tittle yake kwa jitihada zake binafsi.
Anajituma na anayo nidhamu ya kazi.
Ndiyo maana huwezi kuona mabifu ya kijinga kwake.

Na wengi hudai matokeo yanapangwa....... Nionavyo mimi ni kwamba kuna mechi za kuvutia tu mashabiki ambazo si za ubingwa. Mfano enzi hizo mechi ya kwanza ya Mysterio vs Batista. Lakini ukiangalia kwa undani utaona anatafutwa mtu katika game hizo ambaye atajiingiza ili kupata big match.
Reigns mafanikio yake anayatafuta kwa kujituma tofauti na wengi.

Nikukumbushe kitu kimoja.... Fikiria jinsi Dean Ambrose alivyochukua mkanda kiulaini katika pambano la Roman Reigns na Sett Rollins na jitihada alizofanya Roman kurejesha mkanda kwake. Ila siki zote ili game ipendeze lazima uwe na timu

Romaaaaaaaaaaaaaan Reignssssssssssss[emoji7][emoji7]

Uliangalia [HASHTAG]#Great[/HASHTAG] balls of fire#?

Sikitegemea kama Roman atafanya kitendo kile kwa strawman! Lol watu wana roho ngumu!

Sijawahi ona ambulance match kama hii

Back
Top Bottom