Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Cwez kupngana na mawazo yko kiongoz, mm nna miaka zaid ya kumi na saba nikiw nnaifatilia hii michezo ktk kuifatilia nikaja kugundua kuna baadhi ya mambo wanaigiza lkn ktk swala la kupgana hasa uwanjan wakat wa kugombea mkanda uwa hakuna maigizo fatilia na ww mwnyew ktk ilo utagundua n ukwel na ktk zile ndoa ambazo uwa wanafunga pale uwanjan nazo kuna wakat uwa wanaigiza na kuna baadh ya mahusiano n ya kweli na yamedum kw kipnd kirefu mfano john cena na nicky bella ambao wanazaid ya miaka mitatu?

Kila kitu kimepangwa kabla , jaribu kuangalia Kwa umakini mkuu, ndo maana hii michezo haitangazwi kama habari , ni kama movie vile ..

Wachezaji wana chukua mda mrefu kufanya training ndo maana kugundua ni ngumu .. Ila WWE is fake na wamiliki wameshadhibitisha hilo

Hii ni wikipedia , ipitie

c7398d258050d79733649a2b12e5cb2f.jpg
 
Jamani nisaidieni ratiba ya mieleka na chaneli

Post sent using JamiiForums mobile app
etv africa ya sauz ipo kwenye king'amuzi cha azam channel [HASHTAG]#205[/HASHTAG] kwa malipo ya tsh 23,000 wanaonyesha jumapili sa nane mchana na sa 12 kamili jioni..hawa wapo current kidogo sometime baadhi ya game wanakuaga live.
 
Na ukifuatilia maelezo ya wale commentators wakat roman anapigana, huchelewi kuskia wanasema "A MAN WHO DEFEATED THE DEAD MAN"

Biff la undertaker na roman lilianza mwaka jana roman alimtoa nje ya ulingo kwenye wrestlemania na akashinda akawa bingwa, taker alikasirika wakaanza kutaftana wakapangiwa pambano kwenye Royal rumble ambayo roman alishinda! Lakini kabla ya hapo, wrestlemania ya mwaka huu roman alimtoa tena taker ulingoni!

Kwa wachezaji wa sa hizi, brawn strawman ndo mpinzani halali wa Roman

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Umecheki pambano lao la majuzi ambulance match daah Roman alifanya kitu ya hatari kuligongesha ambulance kwenye ukuta,angemuua strawman manina,kamvunja mguu
 
Umecheki pambano lao la majuzi ambulance match daah Roman alifanya kitu ya hatari kuligongesha ambulance kwenye ukuta,angemuua strawman manina,kamvunja mguu
Niliona hiyo, Hatar sana daaa!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Fin balor ndio hatar zaidi kwenye wrestling sema uyu dogo anabaniwa lakin roman reigns anaelewa moto wa uyo dogo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • 1500232547349.jpg
    1500232547349.jpg
    44.5 KB · Views: 25
Uliangalia [HASHTAG]#Great[/HASHTAG] balls of fire#?

Sikitegemea kama Roman atafanya kitendo kile kwa strawman! Lol watu wana roho ngumu!

Sijawahi ona ambulance match kama hii

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Nmeiona[emoji23][emoji23][emoji23]sema reigns alijiingiza mwenyewe kwa ambulace baadae akampa spear[emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka

halafu roman huwaga haanzagi kutumia silaha ,ila ukimuanza anakumaliza

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nmeiona[emoji23][emoji23][emoji23]sema reigns alijiingiza mwenyewe kwa ambulace baadae akampa spear[emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka

halafu roman huwaga haanzagi kutumia silaha ,ila ukimuanza anakumaliza

Post sent using JamiiForums mobile app
Yeah siraha hapendelei sana, hata iwe extreme rules yeye huwa wa mwisho kutumia!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Yeah siraha hapendelei sana, hata iwe extreme rules yeye huwa wa mwisho kutumia!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
hivi hana mechi hivi karibuni

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hivi hana mechi hivi karibuni

Post sent using JamiiForums mobile app
Anayo, atacheza na samoa Joe, halaf mshindi kati yao atakutana na brock lesner kwenye Summer slams kuwania universal championship

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Anayo, atacheza na samoa Joe, halaf mshindi kati yao atakutana na brock lesner kwenye Summer slams kuwania universal championship

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Huyo samoa joe simpendi
Lesnar ndio kabisaaa nalichukia kama nini

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Daah! Mtindo anaotumia Roman Reigns wa kujilegeza ili adui apumbazike na kupoteza umakini ni mzuri lakini awe makini na teke la Shemus manake huwa ni hatari lakini halina force kwa the legend Romain Reigns ni kama vlee kumeza maji tu aseeee!!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyo samoa joe simpendi
Lesnar ndio kabisaaa nalichukia kama nini

Post sent using JamiiForums mobile app
Ha ha haaa ila last match samoa Joe alimpiga Roman, sijui hii itakuwaje

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Ha ha haaa ila last match samoa Joe alimpiga Roman, sijui hii itakuwaje

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
si ile aliosaidiwa au sio hio?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
si ile aliosaidiwa au sio hio?

Post sent using JamiiForums mobile app
Sikufanikiwa kuiona ila niliona highlight kashinda!

Hii ntaifuatilia vizr

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Sikufanikiwa kuiona ila niliona highlight kashinda!

Hii ntaifuatilia vizr

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
nahisi kama alipata msaada

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Labda, kama uliona itakuwa kweli

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Hana cha ziada wwe wanambeba sana kwa sababu ya Marketing wise ana sura inayouzika na, kwenye wrestling side hana kitu cha kusema anawazidi akina Cezaro, KO, Randy Orton, Seth Rollins,AJ styles, Finn Balor
Hao uliowataja wote wanapigwa na roman reigns,watu ambao wanamsumbua huyo kiumbe ni braun strawman tena kwa mbinde ndio anampiga,kuna brock lesnar na samoa joe hao ndio wanaomsumbua roman,waliobaki wote wanakaa even huyo john cena

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom