Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Mechi ya Leo Roma Rain,Samoe Joe na Brown Strowman. Alieibuka mshindi ni Roma Rain. 2.Mechi ya pili Cruwsweirt ilipigana Tagteam wakaibu Akina Titas. 3.Shemas/Rolin na akashinda Rolin. 4.Tag tem Hardyboy V/s Calos na rafiki yake na Hardboy wameshinda 5.Kwa mademu Aliyeshinda ni Belly. Hii monday night raw. Kesho ni Smackdown

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnafaidi kweli
unatumia kng'amuzi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani WWE unai download vipi kuwa inaleta live event za mipambano au ni king'amuzi gani kinawaonyesha Mara kwa mara
 
Smackdown ya jumanne hii Aj style bado anashikilia mkanda wa U.s.a baada ya kumshinda Kelvin Owen. Nakamoa jampiga John Cena hivo Nakamua atashindana na Jinder Maharaja kungangania mjanda anaoushikilia. Pia Andri Orton Kampiga Rusev hivo huwenda jumanne kukawa na mechi baina yao. Mwisho msisahau kuangalia pambano la kukata na shoka kati ya Brock Lesna na Roma Rein. Itakuwa samslam ambapi mwenye kushikilia mkanda anatakiwa atetee labda itokee ratiba nyingine. Kwa wale mliosema mko Mwanza basi fanya kunipm nkuunganishe na fundi wa huko kwenu

Randy orton au andri?

pambano la Ucw la romn na bloc
ni lini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Li samoa joe kishenzi..
limemkosesha ushindi baby wangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].

my reigns[emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mtu anaeza mleta hapa huyu samoe Joe nimchane chane na viwembe?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom