nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 934
Mnafaidi kweliMechi ya Leo Roma Rain,Samoe Joe na Brown Strowman. Alieibuka mshindi ni Roma Rain. 2.Mechi ya pili Cruwsweirt ilipigana Tagteam wakaibu Akina Titas. 3.Shemas/Rolin na akashinda Rolin. 4.Tag tem Hardyboy V/s Calos na rafiki yake na Hardboy wameshinda 5.Kwa mademu Aliyeshinda ni Belly. Hii monday night raw. Kesho ni Smackdown
Sent using Jamii Forums mobile app
maelezo yako sijayaelewaPia kwa wale wamagharib mwa tz Kuna sat rahisi tu kama utahitaji fundi au maelezo unaweza sema. Kwa Tna Sat ni Intesalt 20 nyuzi 68 c band channel inaitwa Sony six
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mwanza mkuuUkishaelezaculipo ntakujulisha na decoda pia uzuri ukishanunua hulipii kwa mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna Aplication ya bure ya wwe labda ulipie kwa dolaJamani WWE unai download vipi kuwa inaleta live event za mipambano au ni king'amuzi gani kinawaonyesha Mara kwa mara
Randy orton au andri?Smackdown ya jumanne hii Aj style bado anashikilia mkanda wa U.s.a baada ya kumshinda Kelvin Owen. Nakamoa jampiga John Cena hivo Nakamua atashindana na Jinder Maharaja kungangania mjanda anaoushikilia. Pia Andri Orton Kampiga Rusev hivo huwenda jumanne kukawa na mechi baina yao. Mwisho msisahau kuangalia pambano la kukata na shoka kati ya Brock Lesna na Roma Rein. Itakuwa samslam ambapi mwenye kushikilia mkanda anatakiwa atetee labda itokee ratiba nyingine. Kwa wale mliosema mko Mwanza basi fanya kunipm nkuunganishe na fundi wa huko kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mtu anaeza mleta hapa huyu samoe Joe nimchane chane na viwembe?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Li samoa joe kishenzi..
limemkosesha ushindi baby wangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
my reigns[emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio mechi imenifanya ni Google na kugundua kwamba matokeo yanakua predetermined kwa Hiyo hata hizo activity zinapangwa beforeHamna mtu anaeza mleta hapa huyu samoe Joe nimchane chane na viwembe?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hebu share nasi hapo ulipoona wanapanga matokeo tafadhaliHio mechi imenifanya ni Google na kugundua kwamba matokeo yanakua predetermined kwa Hiyo hata hizo activity zinapangwa before
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
ningekuaga huko ningempopoa na chupa ya mkojoHamna mtu anaeza mleta hapa huyu samoe Joe nimchane chane na viwembe?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]