Leo smuckdown Shinshe Nakamura amempiga The Vimper Andre Orton. Mr English amempiga zemzain.Natalia pia ameshinda. Cobel nae ameshinda. Taarifa mbaya upande wa Smuckdown ni Kelvin amemfitini Shane Makmane na General meneja baada ya kumtukana akakasirika na kumpiga hivo Daniel Brayan amemwita C.O waje kusuluhisha tusubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunisahihisha mengine ni ile kuandika haraka haraka thank mkuuMkuu ni Randy orton (The viper) a.k.a mr R.K.O
Shane MCMahoon
Smackdown
shunsuke Nakamura
Safi mkuu. Umesomeka.
Vijana sasa hivi wapo hot, ni km enzi zile za DX,LEGACY, THE BROTHERS OF DESTRUCTION Na wengine wengi.
WWE & TNA ndiyo nyumbani. John Morrison amerudi yupo TNA anajiita Johhny impact.
Wanabahatishaga tu ila mara nyingi wale waliochezeshwa na kushinda huwa hawaji kushinda live ile ni midoli tu inachezeshwa na hasa kulingana na mtu anavoshindaga wanatumia mbinu hizo
Siyo kweli.
Wala siyo midoli mieleka ni mchezo km michezo mingine.Wanabahatishaga tu ila mara nyingi wale waliochezeshwa na kushinda huwa hawaji kushinda live ile ni midoli tu inachezeshwa na hasa kulingana na mtu anavoshindaga wanatumia mbinu hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwelii kabisa ..Pia ilikuwepo mechi ya Bigshow na Brown Strowman ambayo ilikuwa ndani ya waya. Ukweli big show alimpiga sana huyo jamaa ila tatizo ni uzito wa Big show ndio umemfanya apigwe na hadi akawa nyanganyanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
atakuwa huwa angalizia youtube zile zilizokwisha chezewa ila kule TNA hatari bora WWE sheria zinawalinda wachezajiWala siyo midoli mieleka ni mchezo km michezo mingine.
Na wazungu kila kukicha wanaifanya iwe bora zaidi ndiyo maana wakiwa wanacheza unaweza usiamini siyo kweli.
Uliona ile finish ya Demon Barlow? Hilo ndiyo anatumia Low ki TNA alberto De rio alirukiwa alicheua damu.
Uwe unaangalia na TNA ujionee ndugu.
Mieleka siyo maigizo ni mchezo na kitu kikifanywa kuwa mchezo kinafanywa kwa urafiki zaidi au kwa uadui zaidi lkn kwa hali ya urafiki.
dogo anakuja vizuri
Vichoko vya jindmahal sivipendiSipati picha mechi ya hawa jamaa ...Nakamura vs jindermahal
Vs
Ha ha ha ha ha ha ....wapambe nuksiVichoko vya jindmahal sivipendi
android phone