Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Roman Reigns vs John Cena at No mercy.

Natamani sana hili pambano liwahi kufika nilione.
Mimi ni shabiki wa Roman Reigns.

'Wachambuz tupeni maoni yenu kuhusiana na hili pambano'
 
Leo Normecy Roman Rain amempiga John Cena,Brock Lesna amempiga Brown Strowman, Dean Ambrose na Rolin Wamewapia Kina Shemus, Jesse Jordan amepigwa na The mez. Group la wanawake Alixa Bliss ameendelea kushikilia Mkanda wake.Enzo Amore amempiga Nevile na Kufanikiwa kuchukuwa mkand wa Crewsweight hivo Enzo ndio King wa Mkanda huo kwa sasa
 
Enzo ametumia akili nyingi kushinda
 
Pambano lilikuwa saa 9 usiku tz huko ni saa 8pm marudio saa 10pm ya huko
 
Leo Raw Kulika na michezo mingi ya kushambulia shambulia tu.Raw ya leo ilikuwa hovyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ujue ana kazi ya kupigana na block lesnar, sijui mziki wake atauweza
28074b2d5a8d9a63f316a50106bc5820.jpg
59c0b436cafe8c11dae2f9acc61d90b7.jpg

Ataweza
 
Sio rahisi, lile li mtu litamvunja mgongo bure! Hilo size yake ni akina Brawn strawman, Keni, roman reighns, and the likes
yule hana ukubwa wwte wa kutisha.
sema anajua kuonelea akionelea mgongo basi huo huo hadi kero..

Aj akimsoma atambutua tu japo kushinda kazi
 
Back
Top Bottom