Dextereous
Member
- Jan 1, 2016
- 44
- 16
Roman Reigns vs John Cena at No mercy.
Natamani sana hili pambano liwahi kufika nilione.
Mimi ni shabiki wa Roman Reigns.
'Wachambuz tupeni maoni yenu kuhusiana na hili pambano'
Leo Normecy Roman Rain amempiga John Cena,Brock Lesna amempiga Brown Strowman, Dean Ambrose na Rolin Wamewapia Kina Shemus, Jesse Jordan amepigwa na The mez. Group la wanawake Alixa Bliss ameendelea kushikilia Mkanda wake.Enzo Amore amempiga Nevile na Kufanikiwa kuchukuwa mkand wa Crewsweight hivo Enzo ndio King wa Mkanda huo kwa sasa
[emoji23] [emoji23]Leo Raw Kulika na michezo mingi ya kushambulia shambulia tu.Raw ya leo ilikuwa hovyo
Wanapigana na nani??The shield is back
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ajstyle is Bae[emoji7]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue ana kazi ya kupigana na block lesnar, sijui mziki wake atauweza
Sio rahisi, lile li mtu litamvunja mgongo bure! Hilo size yake ni akina Brawn strawman, Keni, roman reighns, and the likes
Ataweza
Sio rahisi, lile li mtu litamvunja mgongo bure! Hilo size yake ni akina Brawn strawman, Keni, roman reighns, and the likes
yule hana ukubwa wwte wa kutisha.Sio rahisi, lile li mtu litamvunja mgongo bure! Hilo size yake ni akina Brawn strawman, Keni, roman reighns, and the likes
tangu ln akajua kupigana yule[emoji23] [emoji23]Mhndi kapigwa kirahs sana