masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
-
- #21
Romans alimtandika vibaya sana sijui kama walirematch ila ningeweza ningekupa linkmkal wa wwe nw n yule block lesnar kama cjakoxea jna dah jamaa anatxha,
Ninampa taji KELVIN OWEN (KO) kwa kuviziaKuhusu uviziaji waviziaji nakumbuka 1day walikua wanapigana na tag team ya Sheamus, randy orton na big show wakishinda kwa kuvizia😊😊😊😊
mkuu uko vizuriWrestlemania mwaka huu lesnar alipigana na Roman Reigns kugombania WWE World Heavyweight Champion na Reigns alikaribia kushinda kabla ya Seth Rollins aja cash MITB contract na kumpokonya ushindi Reigns
Aaah wee bwana weeee,
Brock Lesnar unamlinganisha na Steve Austin kweli? Mbona Brock hamfikii stone cold hata chembe?
Any ways kwakuwa ni maigizo basi tu tunakubali.
Ninampa taji KELVIN OWEN (KO) kwa kuvizia
Natamani kuujua sana huu mchezoSijacheki muda mrefu wwe naimiss sana
Huyo jamaa na kundi lake la the shield ni noma sana undefeated hakuna tag team yeyote ilishawashida , siku izi wanapigana peke yao ninecheki wrestemania ya mwaka huu hawako tag team masai dada
huyo jamaa anatisha sana very corossive
Sheamus anapigwa mbona sema lile kundi lake ndo msaadaUyuu jamaa nlimkubali na kumuelewa kiukweli baada ule mpambano na brock lesnar..sheamus cjui kama ana uwezo wa kupambana na jamaa..
ndio holderIyo game mzee wa brogue kick Sheamus lazima ashinde @ Masai dada si ndo current holder wa wwe champion
duh alafu daniel bryan sijamuona kipindi hichiNa ya wrestler mwenye roho ya paka je?
Mr yess (bryan) or great warrior(sheamus) 😝😝😝😝
nipe ushuhuda maridhawa wa kauli zakoWashabiki wengine huwa hawajui kuwa huu mchezo matokeo huwa yamepangwa...SCRIPTED....na kuna rules mchezaji akienda against anafungiwa.....mshahara wao inategemea nani anauza sura vizuri...POPULAR with fans (sales)...Hii factor iliwafanya wengi kutumia steroids ili kupata shepu muscled kuzidisha mvuto......(hahaha waganga wetu wangeenda huko, btw)
Wengi wao (legends) wamekufa below age 40. kwa magonjwa ya moyo, presha na strokes.....
Natamani kuujua sana huu mchezo
kuna jambo huwa linanitaza
ni rules zake
maana jamaa kuna muda wanamtishia hadi refa na mambo ya namna hyo
hauna kanuni?
Ninampa taji KELVIN OWEN (KO) kwa kuvizia
Kanuni zipo kumtishia refa hamna noma Ila ukimpiga tu game imeharibika inakua
Then kuna rule nyingine mtu mfano akidundwa nje ya ring mwenzake akiingia wakianza kucount ikifika 10 hujarud ndani ya ring unakua umeshindwa
duh alafu daniel bryan sijamuona kipindi hichi
Mahali nilimpa taji KO ni siku anapigana na romans
akasema nimeshndwa sitaki tena ugomvi so akawa anampa mkono romans kumbe anamzuga akapata upenyo wa kurusha ngumi mbili tatu
aise alichezea kipondo kutoka kwa romans hakupata muda wa kuvizia