Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Rein yuko vizuri sana na anaheshima ya kimichezo. Angeunda kolabo na mtu kama dany obrian wangefanya vizuri sana.
 
nipe ushuhuda maridhawa wa kauli zako
kwa mfano legend msataafu aliyekiri hayo
usinipe link za wikpedia

davey-boy-smith-people-in-tv-photo-u3.jpg

rodney-anoa-i-people-in-tv-photo-u1.jpg

scott-bigelow-people-in-tv-photo-u3.jpg

owen-hart-people-in-tv-photo-u3.jpg

curt-hennig-people-in-tv-photo-u5.jpg

chris-benoit-people-in-tv-photo-u2.jpg

randy-savage-recording-artists-and-groups-photo-u13.jpg

andr-the-giant-people-in-tv-photo-u5.jpg

warrior-u6.jpg

junkyard-dog-people-in-tv-photo-u2.jpg

nelson-frazier-jr-people-in-tv-photo-u1.jpg

richard-rood-athletes-photo-u2.jpg

eddie-fatu-people-in-tv-photo-u1.jpg

matt-osborne-people-in-tv-photo-u1.jpg

brian-pillman-football-players-american-photo-u1.jpg

A few who died young....

Some past performers were part of a generation who made unhealthy and poor personal lifestyle choices
WWE statement
 
ndio holder

laki kwa nini unasema lazima ashinde naomba maelezo kidogo

Mkamiaji huyo zile staili zake za kukuweka kwenye kamba nakuanza 1-2-3 to 10 plus brogue kick ni silaha zake tosha utanambia matokeo baadae😊😊😊
Na game zake nyingi anazopigania title uwa ha loose kirahisi
 
Washabiki wengine huwa hawajui kuwa huu mchezo matokeo huwa yamepangwa...SCRIPTED....na kuna rules mchezaji akienda against anafungiwa.....mshahara wao inategemea nani anauza sura vizuri...POPULAR with fans (sales)...Hii factor iliwafanya wengi kutumia steroids ili kupata shepu muscled kuzidisha mvuto......(hahaha waganga wetu wangeenda huko, btw)

Wengi wao (legends) wamekufa below age 40. kwa magonjwa ya moyo, presha na strokes.....

Mkuu nakubaliana na wewe 100% hizi game uwa zinakua scripted na matokeo hupangwa jaribu kufatilia vizuri visa na mikasa vya wwe utajua ukweli wake
 
Masai dada natamani ungekua mke wangu. Huo ndo ugonjwa wangu japo huwa napitwa sana. Miaka ya 2007-2010 nilikua sikosi.
Sa iv ninamajukumu.
Unatumia king'amuzi gn na channel gn!
nina alternative nyingi lakini mara nying sionagi live naoga soon after match or some hours baada ya match
zamani nilikua naangalia chanel E Dstv.
Nikashndwa kulipia
now naangaliaga kwenye app yao live unapakua hyo app signup then mwezi mmmoja wa mwanzo bure
Lakini mara nyingi naangaliaga marudio ambayo hata kama uwe busy vip lazma utapata siku ukayao yaona
kwenye chanel za mbc kwenye kingamuzi chetu cha bhakresa
mbc action huwasa saa 4 usiku kila siku kuanzia j3
Pia kuna jamaa kadhaa fb huwa wanapost video soon baada ya match
 
Naamini Reigns atashinda ingawa nna wasiwasi mechi inaweza ikavunjwa na lile kundi jipya linalojiita The League, ila kwa sasa ndani ya WWE sijaona wrestler zaidi ya Roman, na ndie ninayemkubali zaidi kwa saizi.
kwenye lile kundi wanaoniboa ni the new day duh
Wana show za kipuuzi tu
 
Kanuni zipo kumtishia refa hamna noma Ila ukimpiga tu game imeharibika inakua
Then kuna rule nyingine mtu mfano akidundwa nje ya ring mwenzake akiingia wakianza kucount ikifika 10 hujarud ndani ya ring unakua umeshindwa
last time romans against sheamus group alishnda kwa staili hyo
 
Game za hatari ni zile za cage match or ladder match unaweza kuzima kabisa,rules zingine ngumi za direct Kama za kina mayweather haziruhusiwi😝😝😝
Kuingilia game pia hairuhusiwi ikitokea game inakua imeharibika labda except kwa champion wa money in the bank unaruhisiwa unaweka bond MINT 😊😊😊
Kwa makundi?
Mbona mara kibao inatokea mtu anaingia bila mwenzake kumfikia na kumchapa mkono
 
Washabiki wengine huwa hawajui kuwa huu mchezo matokeo huwa yamepangwa...SCRIPTED....na kuna rules mchezaji akienda against anafungiwa.....mshahara wao inategemea nani anauza sura vizuri...POPULAR with fans (sales)...Hii factor iliwafanya wengi kutumia steroids ili kupata shepu muscled kuzidisha mvuto......(hahaha waganga wetu wangeenda huko, btw)

Wengi wao (legends) wamekufa below age 40. kwa magonjwa ya moyo, presha na strokes.....

Well spoken!
 
Wale wapenzi wa wwe tukutane hapa haswa wapenzi wa roman reigns na dean ambrose.
Leo ni pambano la Sheamus na reigns.
Mimi ni team reigns.
unaangalia livestream?
Kama una link bora tupia
 
davey-boy-smith-people-in-tv-photo-u3.jpg

rodney-anoa-i-people-in-tv-photo-u1.jpg

scott-bigelow-people-in-tv-photo-u3.jpg

owen-hart-people-in-tv-photo-u3.jpg

curt-hennig-people-in-tv-photo-u5.jpg

chris-benoit-people-in-tv-photo-u2.jpg

randy-savage-recording-artists-and-groups-photo-u13.jpg

andr-the-giant-people-in-tv-photo-u5.jpg

warrior-u6.jpg

junkyard-dog-people-in-tv-photo-u2.jpg

nelson-frazier-jr-people-in-tv-photo-u1.jpg

richard-rood-athletes-photo-u2.jpg

eddie-fatu-people-in-tv-photo-u1.jpg

matt-osborne-people-in-tv-photo-u1.jpg

brian-pillman-football-players-american-photo-u1.jpg

A few who died young....

Some past performers were part of a generation who made unhealthy and poor personal lifestyle choices
WWE statement
hata wacheza mpira wanakufa
nilikua naomba evidence kwamba matokeo hupangwa
mimi sijui kama ni kweli au lah
 
kwenye lile kundi wanaoniboa ni the new day duh
Wana show za kipuuzi tu

Hahahaaa
...wanaboa kwa kuwa ww n shabiki wa Roman, ingawa na mim siwapendi ila naona wananogesha show hasa style zao za kuimba na kucheza!
 
Mkamiaji huyo zile staili zake za kukuweka kwenye kamba nakuanza 1-2-3 to 10 plus brogue kick ni silaha zake tosha utanambia matokeo baadae😊😊😊
Na game zake nyingi anazopigania title uwa ha loose kirahisi
sio kwa mateke ya romans jamaa atakaa

hvi KO na dean ambrose
 
Current wrestler aliekaa muda mrefu na mkanda wa wwe ni cm punk alikua hatari sana undefeated for more than a year na miezi 2 nikitaka nusu nitoe chozi aliponyanganywa na the rock😊😊😊
 
Back
Top Bottom