nipe ushuhuda maridhawa wa kauli zako
kwa mfano legend msataafu aliyekiri hayo
usinipe link za wikpedia
ndio holder
laki kwa nini unasema lazima ashinde naomba maelezo kidogo
Washabiki wengine huwa hawajui kuwa huu mchezo matokeo huwa yamepangwa...SCRIPTED....na kuna rules mchezaji akienda against anafungiwa.....mshahara wao inategemea nani anauza sura vizuri...POPULAR with fans (sales)...Hii factor iliwafanya wengi kutumia steroids ili kupata shepu muscled kuzidisha mvuto......(hahaha waganga wetu wangeenda huko, btw)
Wengi wao (legends) wamekufa below age 40. kwa magonjwa ya moyo, presha na strokes.....
Utatizama chanel ganLeo Sheamus lazima ale kichapo hata hiyo title ni mbinu chafu za triple h.
nina alternative nyingi lakini mara nying sionagi live naoga soon after match or some hours baada ya matchMasai dada natamani ungekua mke wangu. Huo ndo ugonjwa wangu japo huwa napitwa sana. Miaka ya 2007-2010 nilikua sikosi.
Sa iv ninamajukumu.
Unatumia king'amuzi gn na channel gn!
kwenye lile kundi wanaoniboa ni the new day duhNaamini Reigns atashinda ingawa nna wasiwasi mechi inaweza ikavunjwa na lile kundi jipya linalojiita The League, ila kwa sasa ndani ya WWE sijaona wrestler zaidi ya Roman, na ndie ninayemkubali zaidi kwa saizi.
last time romans against sheamus group alishnda kwa staili hyoKanuni zipo kumtishia refa hamna noma Ila ukimpiga tu game imeharibika inakua
Then kuna rule nyingine mtu mfano akidundwa nje ya ring mwenzake akiingia wakianza kucount ikifika 10 hujarud ndani ya ring unakua umeshindwa
Kwa makundi?Game za hatari ni zile za cage match or ladder match unaweza kuzima kabisa,rules zingine ngumi za direct Kama za kina mayweather haziruhusiwi😝😝😝
Kuingilia game pia hairuhusiwi ikitokea game inakua imeharibika labda except kwa champion wa money in the bank unaruhisiwa unaweka bond MINT 😊😊😊
Washabiki wengine huwa hawajui kuwa huu mchezo matokeo huwa yamepangwa...SCRIPTED....na kuna rules mchezaji akienda against anafungiwa.....mshahara wao inategemea nani anauza sura vizuri...POPULAR with fans (sales)...Hii factor iliwafanya wengi kutumia steroids ili kupata shepu muscled kuzidisha mvuto......(hahaha waganga wetu wangeenda huko, btw)
Wengi wao (legends) wamekufa below age 40. kwa magonjwa ya moyo, presha na strokes.....
unaangalia livestream?Wale wapenzi wa wwe tukutane hapa haswa wapenzi wa roman reigns na dean ambrose.
Leo ni pambano la Sheamus na reigns.
Mimi ni team reigns.
hata wacheza mpira wanakufa
A few who died young....
Some past performers were part of a generation who made unhealthy and poor personal lifestyle choices
WWE statement
Nadhani anahtaji timu nzuriRein yuko vizuri sana na anaheshima ya kimichezo. Angeunda kolabo na mtu kama dany obrian wangefanya vizuri sana.
kwenye lile kundi wanaoniboa ni the new day duh
Wana show za kipuuzi tu
sio kwa mateke ya romans jamaa atakaaMkamiaji huyo zile staili zake za kukuweka kwenye kamba nakuanza 1-2-3 to 10 plus brogue kick ni silaha zake tosha utanambia matokeo baadae😊😊😊
Na game zake nyingi anazopigania title uwa ha loose kirahisi
Kwa makundi?
Mbona mara kibao inatokea mtu anaingia bila mwenzake kumfikia na kumchapa mkono
mi naangalizia utube zikishawekwa