Roman Reigns and Dean Ambrose special thread


kuna kitu kingine ambacho ni muhimu sana kwa wenzetu....kinaitwa insurance.....yani ukimshitaki mtu kakuharibia sura au kiungo kinacho kuingizia fedha na kama ni mwanamichezo aisee...iwe sura, mguu, ngozi au mkono....yani claimyake inaweza kufika bilions of dollars......

sasa je ni kweli wanaumizana ya kweli ili kudai kufanya hizo claims kama kweli ni ushindani? kwahiyo ni kweli wanamikataba kufanya kazi kwenye kampuni na kuigiza na kupewa mishahara..... na ambao wametengeneza fedha ni wale ambao wanacheza movie za hollyowood kama rock ......stone cold, cena....

Ronda hasira zilimzidi aka panic, holm alikua calm...kwahiyo intimidation za rhonda hazikufanya kazi aka panic, akakosa concentration na kupigwa
 
Wwe ni kama filamu haina uhalisia sana kila kitu ni fake na kinapangwa nimependa sana walivyomutengeneza french lunatic dean ambrose kwakweli.wamepatia sanaaaaa biggg uppp swagg za jamaa mapigo yake ni balaa mapigano yabkweli yako alikohamia cm punk kule lesnar alichemka
 

ni movie mkuu.....ulaya ukivunjwa shingo unapata insurance ndefu sana hunahaja ya kurudi ulingoni.......hebu fanya reserch kwa hili....

Jesus! ten years haukujua kuwa wanapanga matokeo......sio kweli aisee.....Ila siku laumu.....naamini tunapishana katika sports observation....

Pia ingia youtube uwasikilize......mchezo ni mzuri by the way....
 
Anavyoingia hakyanani kama wewe umetangulia kwenye cell unaiona hell kwa mbali
Huyu jamaa ni kiboko ingawa huwa kuna maigizo huyu jamaa alinifanya niipende sana mieleka hasa mapambano yake, na lili pigo lake la mwisho hatari na anapomaliza kazi hizo pozi ni hatari
 

Ingekua simba na yanga ningesema nachotaka timu yangu ifunge niburudike sitaki kujua nani kaloga nani kanunuliwa
Ukitaka kufaidi hata kula tu enjoy what u see/eat ukitaka kujua hadi ya jikon utakufa kwa ulcers
By the way jana Triple H kaingilia mpambano kati ya romans na sheamus amekula kipondo heavy
 
mxyo16 kama unawekewa script unjunjwe mpaka ubebwe na ambulance?
 

Attachments

  • 1450069795485.jpg
    53.2 KB · Views: 143
Last edited by a moderator:
Ambrose kapata IC title
 

Attachments

  • 1450070913102.jpg
    47 KB · Views: 130
,??? Hapa tusubiri tu mpambano kati ya romans na triple H
 

Attachments

  • 1450071019638.jpg
    51.3 KB · Views: 118
[m=mxyo16;14855295]











CHRIS BENOITT MKALI SANA HUYU JAMAA,UMKUTE NA CHAVO GUERERA




















A few who died young....

Some past performers were part of a generation who made unhealthy and poor personal lifestyle choices
WWE statement[/QUOTE]
 


Hivi kuna watu mnavutiwa na kuamini haya maigizo??!! Afadhali niangalie movie ya van damme nijue moja!!
 
mxyo16 kama unawekewa script unjunjwe mpaka ubebwe na ambulance?

WWE niwazuri sana kwenye biashara yao mkuu.....naamini pia huwa unatazama vipindi vya michezo au taarifa za habari, kama vile supersports sky cctv sidhani kama ulishaona wakiongelea hawa WWE superstars kwamba wameumia kama vile wanavyoumia kina mesi....
 
my dear ndo kilichotokea jana the league team waliingilia ila triple H alipewa kipondo kilichopelekea aondolewe na ambulance
lakini sheamus kasaidiwa
 

All in all haya mambo ni kwa burudani
 
Kila nikikumbuka kua haya ni maigizo tu, hua nakata tamaa kuangalia mieleka,
 
Kila nikikumbuka kua haya ni maigizo tu, hua nakata tamaa kuangalia mieleka,

hakuna maigizo ktk mchezo huu ila sema kuna kipnd wanafanya vitu kuendana jamii usika lkn ktk swala la kupgana uwa hawaigiz ndug yang maana km wangekuw wanaigiza John Cena angekuwepo ulingon jana kwny tlc lkn tang apate majeraha ktk mpambano wake na alberto de rio ajarud ulingon, pia km wangekuw wanaigiza triple h acngepata majeraa kutoka kw roman ktk ile gem ya jana
 
Uyuu jamaa nlimkubali na kumuelewa kiukweli baada ule mpambano na brock lesnar..sheamus cjui kama ana uwezo wa kupambana na jamaa..

Daah! umenkumbusha mbal mkuu yan lesnar mwnyw alkubal,hv cena na rollins wako wp ck hz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…