Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

uwenda ukawa na ukweli maana sisi tunatizama kwenye tv tu hatupo huko jikoni in the making
by the way unazungumziaje swala zima la kuunjika,kuumizwa hadi damu?
Dislocation,watu kulazwa
unakumbuka ray masterio(kama sikosei) match yake ya kwanza kwao aliua?
MKUU HAYO NAYO YANAKUWA SCRIPTED? au ajali kazini?
Haya tuseme ajali kazini unakumbuka block like three weeks ago alimvunja mguu mshenga/jamaa(sikumbuk vyema) wa jamaa aliekua anapigana nae then akamfata hospital akamkunguta tena?
Hvi hayo yote ni MAIGIZO?

Anyways usinikumbushe ya rhondah hahahaha dada mkorofi sana alidai anataka apigane na may weather
kipondo alichoshushiwa that day hakuamini
japo unajua hakuwah kupigawaa? Ile ndo mara yake ya kwanza

kuna kitu kingine ambacho ni muhimu sana kwa wenzetu....kinaitwa insurance.....yani ukimshitaki mtu kakuharibia sura au kiungo kinacho kuingizia fedha na kama ni mwanamichezo aisee...iwe sura, mguu, ngozi au mkono....yani claimyake inaweza kufika bilions of dollars......

sasa je ni kweli wanaumizana ya kweli ili kudai kufanya hizo claims kama kweli ni ushindani? kwahiyo ni kweli wanamikataba kufanya kazi kwenye kampuni na kuigiza na kupewa mishahara..... na ambao wametengeneza fedha ni wale ambao wanacheza movie za hollyowood kama rock ......stone cold, cena....

Ronda hasira zilimzidi aka panic, holm alikua calm...kwahiyo intimidation za rhonda hazikufanya kazi aka panic, akakosa concentration na kupigwa
 
Wwe ni kama filamu haina uhalisia sana kila kitu ni fake na kinapangwa nimependa sana walivyomutengeneza french lunatic dean ambrose kwakweli.wamepatia sanaaaaa biggg uppp swagg za jamaa mapigo yake ni balaa mapigano yabkweli yako alikohamia cm punk kule lesnar alichemka
 
natizama kwa miaka kama 10+ iliyopita tangu kina hogan wanastaaafu
Unaweza ukaandikiwa script ingia ukavunjwe shingo?
Kuna vitu vinapangwa kama zile move za hapa na pale lakini sio ndani ya ulingo
unaweza ukawa una ukweli flani lakini sio wote

ni movie mkuu.....ulaya ukivunjwa shingo unapata insurance ndefu sana hunahaja ya kurudi ulingoni.......hebu fanya reserch kwa hili....

Jesus! ten years haukujua kuwa wanapanga matokeo......sio kweli aisee.....Ila siku laumu.....naamini tunapishana katika sports observation....

Pia ingia youtube uwasikilize......mchezo ni mzuri by the way....
 
Anavyoingia hakyanani kama wewe umetangulia kwenye cell unaiona hell kwa mbali
Huyu jamaa ni kiboko ingawa huwa kuna maigizo huyu jamaa alinifanya niipende sana mieleka hasa mapambano yake, na lili pigo lake la mwisho hatari na anapomaliza kazi hizo pozi ni hatari
 
ni movie mkuu.....ulaya ukivunjwa shingo unapata insurance ndefu sana hunahaja ya kurudi ulingoni.......hebu fanya reserch kwa hili....

Jesus! ten years haukujua kuwa wanapanga matokeo......sio kweli aisee.....Ila siku laumu.....naamini tunapishana katika sports observation....

Pia ingia youtube uwasikilize......mchezo ni mzuri by the way....

Ingekua simba na yanga ningesema nachotaka timu yangu ifunge niburudike sitaki kujua nani kaloga nani kanunuliwa
Ukitaka kufaidi hata kula tu enjoy what u see/eat ukitaka kujua hadi ya jikon utakufa kwa ulcers
By the way jana Triple H kaingilia mpambano kati ya romans na sheamus amekula kipondo heavy
 
mxyo16 kama unawekewa script unjunjwe mpaka ubebwe na ambulance?
 

Attachments

  • 1450069795485.jpg
    1450069795485.jpg
    53.2 KB · Views: 143
Last edited by a moderator:
Ambrose kapata IC title
 

Attachments

  • 1450070913102.jpg
    1450070913102.jpg
    47 KB · Views: 130
,??? Hapa tusubiri tu mpambano kati ya romans na triple H
 

Attachments

  • 1450071019638.jpg
    1450071019638.jpg
    51.3 KB · Views: 118
[m=mxyo16;14855295]
davey-boy-smith-people-in-tv-photo-u3.jpg


rodney-anoa-i-people-in-tv-photo-u1.jpg


scott-bigelow-people-in-tv-photo-u3.jpg


owen-hart-people-in-tv-photo-u3.jpg


curt-hennig-people-in-tv-photo-u5.jpg


chris-benoit-people-in-tv-photo-u2.jpg

CHRIS BENOITT MKALI SANA HUYU JAMAA,UMKUTE NA CHAVO GUERERA
randy-savage-recording-artists-and-groups-photo-u13.jpg



andr-the-giant-people-in-tv-photo-u5.jpg



warrior-u6.jpg



junkyard-dog-people-in-tv-photo-u2.jpg


nelson-frazier-jr-people-in-tv-photo-u1.jpg

richard-rood-athletes-photo-u2.jpg


eddie-fatu-people-in-tv-photo-u1.jpg


matt-osborne-people-in-tv-photo-u1.jpg


brian-pillman-football-players-american-photo-u1.jpg


A few who died young....

Some past performers were part of a generation who made unhealthy and poor personal lifestyle choices
WWE statement[/QUOTE]
 
Kwa wapenzi wa miereka huyu jamaa hafananishwi
Refer Hell in the cell alivyo garagaza vigogo wa WWE mpaka kina KO
Kumbe jamaa wanatamani sana title yake kina shemus na kundi la New day,

Twende moja kwa moja kwenye kundi alilounda triple H likawa na shemus na rusev na kina del rio
Hakyanani jamaa kagaragaza wote na ni wapganaji wa kutegemewa
Kwa kweli nimefurahi sana
Huyu jamaa natamani kuijua historia yake
Kwa mechi ya leo kwa kweli mi namtakia kila la heri
Amkungute vizuri sheamus


Hivi kuna watu mnavutiwa na kuamini haya maigizo??!! Afadhali niangalie movie ya van damme nijue moja!!
 
mxyo16 kama unawekewa script unjunjwe mpaka ubebwe na ambulance?

WWE niwazuri sana kwenye biashara yao mkuu.....naamini pia huwa unatazama vipindi vya michezo au taarifa za habari, kama vile supersports sky cctv sidhani kama ulishaona wakiongelea hawa WWE superstars kwamba wameumia kama vile wanavyoumia kina mesi....
 
Nililigundua hili wakati John Cena na Randy Orton wakiwa kwenye peak ya mafanikio!! Niliwafatilia kwa ukaribu sana nikagundua baadhi ya vitu ni kama vinapangwa au viini macho kwa faida ya kampuni!!

Pia wakati wa Batista akiwa na bifu zito dhidi ya Triple H, walichezeshwa kimipango sana!! All in all bifu la marehemu Umaga na Bobby Lashley ndiyo WWE waliingiza sana hela, nimeanza kuujua kitambo sana tangu enzi tunaangalia ile KBC wanapanda kwenye kamba hahahahaaaaa
my dear ndo kilichotokea jana the league team waliingilia ila triple H alipewa kipondo kilichopelekea aondolewe na ambulance
lakini sheamus kasaidiwa
 
WWE niwazuri sana kwenye biashara yao mkuu.....naamini pia huwa unatazama vipindi vya michezo au taarifa za habari, kama vile supersports sky cctv sidhani kama ulishaona wakiongelea hawa WWE superstars kwamba wameumia kama vile wanavyoumia kina mesi....

All in all haya mambo ni kwa burudani
 
Kila nikikumbuka kua haya ni maigizo tu, hua nakata tamaa kuangalia mieleka,
 
Kila nikikumbuka kua haya ni maigizo tu, hua nakata tamaa kuangalia mieleka,

hakuna maigizo ktk mchezo huu ila sema kuna kipnd wanafanya vitu kuendana jamii usika lkn ktk swala la kupgana uwa hawaigiz ndug yang maana km wangekuw wanaigiza John Cena angekuwepo ulingon jana kwny tlc lkn tang apate majeraha ktk mpambano wake na alberto de rio ajarud ulingon, pia km wangekuw wanaigiza triple h acngepata majeraa kutoka kw roman ktk ile gem ya jana
 
Uyuu jamaa nlimkubali na kumuelewa kiukweli baada ule mpambano na brock lesnar..sheamus cjui kama ana uwezo wa kupambana na jamaa..

Daah! umenkumbusha mbal mkuu yan lesnar mwnyw alkubal,hv cena na rollins wako wp ck hz
 
Back
Top Bottom