KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
KakaJambazi hii itakusaidia tena kama wewe uko busy unadowload muda wako unaangalia anytime
mkuu uko wap?
Asante masai dada, nitajitahidi na hizi mb 8 zangu.
Asante masai dada, nitajitahidi na hizi mb 8 zangu.
nimecheki pambano moja jana hawa roman reigns na dean ambrose ni hatari
Kwa wapenzi wa miereka huyu jamaa hafananishwi
Refer Hell in the cell alivyo garagaza vigogo wa WWE mpaka kina KO
Kumbe jamaa wanatamani sana title yake kina shemus na kundi la New day,
Twende moja kwa moja kwenye kundi alilounda triple H likawa na shemus na rusev na kina del rio
Hakyanani jamaa kagaragaza wote na ni wapganaji wa kutegemewa
Kwa kweli nimefurahi sana
Huyu jamaa natamani kuijua historia yake
Kwa mechi ya leo kwa kweli mi namtakia kila la heri
Amkungute vizuri sheamus
Yule mzee anatia hasira snHalafu pia mfano Kama mtu anataka kucheza movie au kupumzika Kama anashikilia mkanda basi lazima atapigwa... Rejea mfano John cena alivyokuwa na mkanda wa USA champion,plan alikuwa na kipindi Kwneye TV cha kurecod Kama 4 weeks akaja kupigwa na Albert Derio.
Ila this week amerudi.
..Vince Macman anaanza kutengeneza wrestle mania itakavyokuwa ambapo nextweek atakuwa yeye special Refarii kati ya Roman reigns vs Sheamus.
Ila mimi sasa ndio nampenda ananogesha mchezo.Yule mzee anatia hasira sn
Walimfanya nn boss,daah cjaona hyoo..reigns alikuwa anachapana na nanWalichomfanyia jana Roman Reigns wale league nation co poa kabsa