Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Attachments

  • 1450287650708.jpg
    1450287650708.jpg
    25.9 KB · Views: 164
Last edited by a moderator:
@Moderators mbona sioni kitufe cha like wakati na-receive like siku zote?
 
nimecheki pambano moja jana hawa roman reigns na dean ambrose ni hatari
 
Kwa wapenzi wa miereka huyu jamaa hafananishwi
Refer Hell in the cell alivyo garagaza vigogo wa WWE mpaka kina KO
Kumbe jamaa wanatamani sana title yake kina shemus na kundi la New day,

Twende moja kwa moja kwenye kundi alilounda triple H likawa na shemus na rusev na kina del rio
Hakyanani jamaa kagaragaza wote na ni wapganaji wa kutegemewa
Kwa kweli nimefurahi sana
Huyu jamaa natamani kuijua historia yake
Kwa mechi ya leo kwa kweli mi namtakia kila la heri
Amkungute vizuri sheamus

Dada Masai mimi pia nafatilia sana na mpaka nilibahatika siku moja kwenda kuwaona live hawa jamaa..
Zamani nilikuwa Kama wewe naamini ukweli mtu.. Badae kuja kusoma Kumbe huwa wanaandikiwa script.

Ila script zao zinaendana Kama series ukiwa unafatilia unaweza kufikiria ukweli. They way wanavyopanga inakuwa Entertainment ambayo inaendana na ukweli.
 
Halafu pia mfano Kama mtu anataka kucheza movie au kupumzika Kama anashikilia mkanda basi lazima atapigwa... Rejea mfano John cena alivyokuwa na mkanda wa USA champion,plan alikuwa na kipindi Kwneye TV cha kurecod Kama 4 weeks akaja kupigwa na Albert Derio.
Ila this week amerudi.

..Vince Macman anaanza kutengeneza wrestle mania itakavyokuwa ambapo nextweek atakuwa yeye special Refarii kati ya Roman reigns vs Sheamus.
 
Yule mzee anatia hasira sn
 
kumbe ata na binam yake the Rock alikumbuna na huyu mzee pamoja na bint yake….
 
Attachments

  • 1451719435157.jpg
    1451719435157.jpg
    49.9 KB · Views: 67
Walichomfanyia jana Roman Reigns wale league nation co poa kabsa
 
nyie semeni yoooote mie jitu ninalolikubali bana ni Mzee Mcmahon.
balaa lake linaanzia mlangoni linapotoka
 
jukwaaa lilifaa kuitwa la mieleka lakin co la hawa watoto wa juzi wakina ambrose na roman...
 
hivi uliona juzi triple alivyobondeka,roman reign hatari sana huyu kijana
 
Back
Top Bottom