Roman Reigns Vs Samoa Joe

Roman Reigns Vs Samoa Joe

Joined
Jul 9, 2017
Posts
27
Reaction score
3
With the announcement that ROman will Face Samoa Joe next week on Monday for the right to face Brock Lesnar at Summer Slam, what are you thoughts? Will Roman win? Or should they have just gone for a triple threat at Summer Slam?
 
Hii mechi sijui ya lini ambayo Fand oton ameshinda Royal humble...

imeniuma[emoji20] [emoji24]

TECNO-C5 Wereva
 
With the announcement that ROman will Face Samoa Joe next week on Monday for the right to face Brock Lesnar at Summer Slam, what are you thoughts? Will Roman win? Or should they have just gone for a triple threat at Summer Slam?
Mpaka sasa Samoa Joe amemchapa Roman Reigns mara 2.

Na baada ya kuangalia great balls of fire ya jumapili, nnaamini the true opponent wa Brock Lesnar ni Samoa Joe with Cockino Crunch inayompoteza kirahisi Brock kwenye mchezo.

"the highest risk should give maximum profit"
 
Roman reigns ana deserve kwenye summer slam kwa kuangalia mechi ya jumapili iliyopita kwenye great ball fire .. Roman is the best wrestler ever

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi huwa natumia you tube kufuatilia. Raw hufanyika juma tatu na smack down live juma nne in american time.

"the highest risk should give maximum profit"
nili subscribe ngoja nifatilie

TECNO-C5 Wereva
 
With the announcement that ROman will Face Samoa Joe next week on Monday for the right to face Brock Lesnar at Summer Slam, what are you thoughts? Will Roman win? Or should they have just gone for a triple threat at Summer Slam?
Samoa naona sio Fit wa brock lesnar
So wamemrudisha Roman kwenye title vs brock ( so hapa roman.atampiga samoa) ndio script ya sasa hivi itakavyokuwa (navyoona)
Unajua Brock anapigana kwenye PPV tu yaani ni kama part timer kwenye WWE so naona wanataka kumvua tittle via Roman..Ili roman akishinda then yule kichaa aliyemuweka kwenye Ambulance atarudi kwa ajili ya revenge (hapo after Roman akimpiga Brock Lesnar)
.......
.......
.......

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa Samoa Joe amemchapa Roman Reigns mara 2.

Na baada ya kuangalia great balls of fire ya jumapili, nnaamini the true opponent wa Brock Lesnar ni Samoa Joe with Cockino Crunch inayompoteza kirahisi Brock kwenye mchezo.

"the highest risk should give maximum profit"
Samoa kapigwa Suplex city kawa ronyo ronyo juzi.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Waliompiga Brock 1-1
1.Curt Angle
2.The undertaker
3.guerero
4.the game
5.Goldberg
6.John cena
Sioni jinsi gani Samoa ataingia kwenye hiyo list

Goldberg namkubali sana.
 
Samoa naona sio Fit wa brock lesnar
So wamemrudisha Roman kwenye title vs brock ( so hapa roman.atampiga samoa) ndio script ya sasa hivi itakavyokuwa (navyoona)
Unajua Brock anapigana kwenye PPV tu yaani ni kama part timer kwenye WWE so naona wanataka kumvua tittle via Roman..Ili roman akishinda then yule kichaa aliyemuweka kwenye Ambulance atarudi kwa ajili ya revenge (hapo after Roman akimpiga Brock Lesnar)
.......
.......
.......

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Lesner amewapiga mkwara wwe kwamba anastahili hiyo title akipigwa anajitoa wwe! Ikumbukwe yule current bingwa wa UFC anamtamani lesner arudi apambane naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mkwara ni iko scripted hivyo. Unajua lesner anapenda sana UFC kuliko WWE namara kibao anasema akihojiwa coz he know kuwa pale WWE ni kama uiguzaji its fake na yeye alisema hilo just tafuta utube utaona. So watamvua ubingwa @summerslam ilo arudi UFC ambko alifungiwa kwa 2 years sababu yamatumizi ya madawa fulani ambayo hayaruhusiwi. Nadhani adhabu itakuwa imeisha na UFC wanahitaji pesa na brock atawaletea pesa. Ofcoz atarudi tu WWE baadae huko hata mwakani but sidhani kama atashinda summer slam.
Ni kama now wanavyotaka kumpa ubingwa Shensuke Nakamura vs jinja mahal maana wametengeza pesa sana via wahindi unajua wako 1.6 bil..so ubingwa wake umewapa hela sana WWE na now wanataka kumpa mjapan ili watengeneze hela ingawa nadhani yule Cobin atatumia brifcase lake siku hiyo awe bingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom