Romance in public transport.......inakera!

Romance in public transport.......inakera!

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
tulianza safari kama mida ya kumi na mbili na ushee kwenda hapo mji kasoro bahari ndani ya bm couch, walengwa walikuwa wamekaa adjacent siti ya mbele, kama kawaida niko na kamchina kangu jamii forum naperuzi. Vimbwenga vikaanza tulipofika kibaha, jamaa akaanza shikana shikana na huyo demu, hadi mlandizi washalana mate, haikuishia hapo, waliendellea na kamchezo kao huku wakipumzika mara kwa mara, ilifikia stage jamaa akaamuwa hadi kunawa mkono, hapa ndipo hadi sauti za miguno ya huyo mdada zilitoka, na cha ajabu ilichukua minutes kama tano jamaa kakomaa tu.
Abiria wote ni kimyaa kumskilizia mdada akilalama. Huku tulio karibu tukiangalia kinachoendelea, ni kama muvii hivi.
in my mind nlichokuwa nataka ni gari ifike nishuke tu sababu hali ile haikuwa nzuri kabisa, nliyekaa naye nahisi hakuwa na hali as aliishia kubana miguu tu.
 
Hao bado mapenzi machanga ndio maana shatashata wape mda upepo wa ngono utapita tu!
 
inakera kweli si uongo,sema na abiria mliokuwepo mlikuwa mnanizamu,wangekuwa wale wenye vichwa bangu wangewachana
 
Abiria mlikosea. Mngewatembezea kichapo. Huu ni ulimbukeni. Wanaiga mambo ya wazungu. Laiti wangekuwa wamewahi kuishi Ulaya wangejiona majibwa ya kawaida yasiyo na mikia.
 
aisee...hebu ngoja nisome tena alafu nivute picha yenyewe!
 
Mimi nilidhani nasoma gazeti la udaku kumbe ni kweli.
 
i see, hii ni kiboko.... ndiyo matatizo ya kuiga kila kitu hata kama ni cha kipuuzi
 
Badilisha Title from [h=2]Romance in public transport[/h] to Pornography in public transport.
[h=2][/h]
 
atakuwa alikuwa anamtamani siku nyingi huyo dada.au huyo mdada ni mke wa mtu,kamuiba wanaenda banjuka nae moro.walikuwa wamepandwa na pepo la ngono hao.
 
Abiria wote mafala mmeshindwa kupinga tendo hilo...utamaduni wa wapi huo?
 
Walikuwa wanajipooza ki aina ndo maana walikaa kimya..

Madamex ingekuwa ni wewe ungefanyaje au ndo ungesema aaaaaaahhh....eeeheeeee!!!
 
Back
Top Bottom