Romance in public transport.......inakera!

Romance in public transport.......inakera!

Hata mleta mada alifurahia yaliyofanywa na abiria wenzao

Yange mkera angeyapigia kelele

TUOMBE REHEMA NA NEEMA YA MUNGU TU, Maadili yamebomoka kabisa
 
Hao bado mapenzi machanga ndio maana shatashata wape mda upepo wa ngono utapita tu!

haswaaaaaaaaaaaaaaa hao bado wageni au wapya ila pia ustarabu hauna ugeni wala upya kwani walikuwa wamepanda ndio hawajui kushikana au kubusiana.
au walikuwa wanawadolishia?
 
Nawewe ulifanyani? Au ulitazama tu! Au ulilala guest na +ke usiku wa jana so no emotion jombaa! Hahaaaa mngaliongeza sauti ya radio dereva asisikie.

alikuwa anakula chabo tu na kushiba hisia
 
Kwenye magari kuna mengi ndio maana ajali haziishi!!
 
Iron Lady,i'm suprised to see u here!Nimezoea kukuona kulee inteligence!

mkuu,
ahaaaaaa huwa napita siku mojamoja, si unajua maarifa na ufahamu upo kila sehemu. na kila sehemu kuna jambo jipya utapata.
tupo pamoja mkuu
 
Huwezi kuamini, walikua hawajuani kabla ya hapo. Dunia imekwisha!
 
Back
Top Bottom