Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
- Thread starter
-
- #41
hahahahaa.... Bantu lady wathikia?? Muone babu but uende kama ulivyokuwa kwenye uterus kwa mamiyo!!
Ukaguzi ufanyike balazani sio chumbani mambo ya kupigishwa chabo hatuyataki
Akhuuu umri wangu bado mdogo kuwa na mbabu. Asinizeeshe kabisa hahaahah
cc Lady doctor
sijui tukubadilishe jina?
Muache ameiona fursa
Ruhusa si umetoa mwenyewe?
Muache ameiona fursa
Ebu nipe jina mbadala kwa msimu huu
Akhuuu umri wangu bado mdogo kuwa na mbabu. Asinizeeshe kabisa hahaahah
cc Lady doctor
Shauri zako. Baki na ukakasi wako.
Haya next??
Sasa mbona unamwita babu Asprin? Hujiamini ama?
my dear huyu babu kazi yake ni kukagua tu wala hakuchukui ili mkazeeshane ujue
Shauri zako. Baki na ukakasi wako.
Haya next??
Hahahaaaa,huyo ni babu,nataka anisindikize wakati wa kuleta posa!
Babu nikague tumalizane. Hapo kabla nusu unibanie, haya anza basi
Wivu unamsumbua huyo,anatamani hata anipokonye hili jina