Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
- Thread starter
- #161
Am happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa....
Haya basi tupe jina la huyo alieutetemesha mtima wako
Ngoja nimwambie my dady Baba V aje akusaidie
Best mbona unanitega tena? S
Am happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa....
Pole Mwanyasi nimeshampata romantic guy wangu. Umechelewa sana.
Asante sana malkia wangu,nafurahi sana kuwa pembeni yako,najivunia kuwa na wewe malkia!
Tangazeni bas hiyo ndoa itakua lin watu tuandae matumbo kuingiza vinono
Kijana kutoka kigamboni nipo hapa [emoji41][emoji41][emoji41]Niko mpweke humu jamani. Nahitaji mtu wa kunichangamsha, mwenye kujua mapenzi hasa muda wote niwe na furaha. Pleeease!!!
Duh ..hii ilinipita dahNiko mpweke humu jamani. Nahitaji mtu wa kunichangamsha, mwenye kujua mapenzi hasa muda wote niwe na furaha. Pleeease!!!
EeehAm happy jamani now, asanteni wote tulioanza kwenye huu mchakato. Kila kitu kimeenda sawa nimevumbua zaidi yaa....
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]kitambo sana hiiDuh ..hii ilinipita dah
Hahahahaha, watu washafanya yao[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]kitambo sana hii