Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Hii ni nzuri zaidi
Inakuwa kama kigae vileNikipiga max cover kwenye ka mjengo Kangu sababu ya uchumi.
Ila kama uchumi uko vizuri, vesertile inapendeza zaidi. Kama uko vizuri weka vesertile ya mchanga mchanga Achana na romantile
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Versatile
Bei yake sio mchezoHizo ndiyo bati za Msauzi sasa na zinachukuwa muda mrefu kupauka kuliko aina zingine, na ndiyo zenye gharama kubwa kuliko Msauzi wowote.
Inauzwaje?Bei yake sio mchezo
Sio chini ya 60,000 ya mita tatuInauzwaje?
Yaa, ni sahihi ni zaidi ya 70 mita 3. Ukiweka hiyo heshima sn na mtaani sio wengi wanaoweka hizi bati. Unaweza kujikuta mtaa wako ni wewe peke yako ndiyo unazo tu. Ukifuata kiwandani uhakika wakupata orijino ni 99.99%, ukichukuwa kwa mawakala hasa wasio waaminifu kupata feki au kuchanganyiwa feki na original ni 50/50. Tatizo kiwandani km Alaf wanaruhusu km unachukuwa mzigo wa maana sio kwenda na million 3/5 hapo watakwambia uende kwa mawakala wao. Na huko ndo utapgwa na kitu kizito kichwani.Sio chini ya 60,000 ya mita tatu
Sasa hapo kwenye kujua feki na Orijino ndiyo utauziwa bati kama bidhaa kwa ponjoro. Kwa Kanjibhai kunakuwa na feki na orijino feki, kwa ivo zote ni FEKI. Unapigwa Feki NDOIGE. Ukinuna Feki unakuwa umenunua feki na ukinunua Orijino unakuwa umenunua FEKI pia.Yaa, ni sahihi ni zaidi ya 70 mita 3. Ukiweka hiyo heshima sn na mtaani sio wengi wanaoweka hizi bati. Unaweza kujikuta mtaa wako ni wewe peke yako ndiyo unazo tu. Ukifuata kiwandani uhakika wakupata orijino ni 99.99%, ukichukuwa kwa mawakala hasa wasio waaminifu kupata feki au kuchanganyiwa feki na original ni 50/50. Tatizo kiwandani km Alaf wanaruhusu km unachukuwa mzigo wa maana sio kwenda na million 3/5 hapo watakwambia uende kwa mawakala wao. Na huko ndo utapgwa na kitu kizito kichwani.
Mia wanatoa kiwandani??Yaa, ni sahihi ni zaidi ya 70 mita 3. Ukiweka hiyo heshima sn na mtaani sio wengi wanaoweka hizi bati. Unaweza kujikuta mtaa wako ni wewe peke yako ndiyo unazo tu. Ukifuata kiwandani uhakika wakupata orijino ni 99.99%, ukichukuwa kwa mawakala hasa wasio waaminifu kupata feki au kuchanganyiwa feki na original ni 50/50. Tatizo kiwandani km Alaf wanaruhusu km unachukuwa mzigo wa maana sio kwenda na million 3/5 hapo watakwambia uende kwa mawakala wao. Na huko ndo utapgwa na kitu kizito kichwani.
Bati limesimama kama linasubiri snow[emoji28][emoji28]
HahaahhBati limesimama kama linasubiri snow[emoji28][emoji28]
Sasa hapo kwanini umefunga ukuta mrefu na hauna sehemu ya uwazi