Romantile vs Versatile: Design ipi ungependelea kuweka?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Hizi ni bati zenye muundo mzuri kweli. Zinakuja katika bei kubwa na last time i checked inatengenezwa Alaf anatengeneza gauge 28 tu.

Vp wewe ungependele ununue design gani?
 
...
Screenshot_20230401_134825_Chrome.jpg
Screenshot_20230401_134737_Chrome.jpg
 
Hizo ndiyo bati za Msauzi sasa na zinachukuwa muda mrefu kupauka kuliko aina zingine, na ndiyo zenye gharama kubwa kuliko Msauzi wowote.
 
Sio chini ya 60,000 ya mita tatu
Yaa, ni sahihi ni zaidi ya 70 mita 3. Ukiweka hiyo heshima sn na mtaani sio wengi wanaoweka hizi bati. Unaweza kujikuta mtaa wako ni wewe peke yako ndiyo unazo tu. Ukifuata kiwandani uhakika wakupata orijino ni 99.99%, ukichukuwa kwa mawakala hasa wasio waaminifu kupata feki au kuchanganyiwa feki na original ni 50/50. Tatizo kiwandani km Alaf wanaruhusu km unachukuwa mzigo wa maana sio kwenda na million 3/5 hapo watakwambia uende kwa mawakala wao. Na huko ndo utapgwa na kitu kizito kichwani.
 
Sasa hapo kwenye kujua feki na Orijino ndiyo utauziwa bati kama bidhaa kwa ponjoro. Kwa Kanjibhai kunakuwa na feki na orijino feki, kwa ivo zote ni FEKI. Unapigwa Feki NDOIGE. Ukinuna Feki unakuwa umenunua feki na ukinunua Orijino unakuwa umenunua FEKI pia.
 
Yaa, ni sahihi ni zaidi ya 70 mita 3. Ukiweka hiyo heshima sn na mtaani sio wengi wanaoweka hizi bati. Unaweza kujikuta mtaa wako ni wewe peke yako ndiyo unazo tu. Ukifuata kiwandani uhakika wakupata orijino ni 99.99%, ukichukuwa kwa mawakala hasa wasio waaminifu kupata feki au kuchanganyiwa feki na original ni 50/50. Tatizo kiwandani km Alaf wanaruhusu km unachukuwa mzigo wa maana sio kwenda na million 3/5 hapo watakwambia uende kwa mawakala wao. Na huko ndo utapgwa na kitu kizito kichwani.
Mia wanatoa kiwandani??
 
Back
Top Bottom