Romantile vs Versatile: Design ipi ungependelea kuweka?

Migongo ya bati la Romantile imekaa kama mlima hivyo hata ikitokea misumari imelegea kutokana na bati kupigwa sana na upepo, maji yatakayokuwa yanavujia ndani ni kidogo sana ukilinganisha na hiyo aina nyingine kwa sababu kwenye bati la romantile maji hayatoweza kutembea kwenye ncha ya huo mlima badala yake maji yatakuwa yanarushwa kwenye hiyo mifereji (troughs) ya bati na ndio mana inashauriwa nyumba za kuficha bati (contemporary) zitumike bati za migongo midogo (corrugated iron sheets)
 
Kwa hio kws ushauri wa kitalaam, romantile ni nzuri zaidi kuliko bati zote.
 
ALAF hata ukiwa na milioni 2 unanunua bati na unazichukulia hapo hapo kwao.

Nimeahanunua hapo bati mara 2 na muda si mrefu ntaenda mara ya 3
 

Nidhani utaweka hizo bati sababu ni imara kumbe ni kwa sababu za kiduliduli yaani mifisa fc [emoji276]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…