Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,976
.
Tunaishi katika Dunia ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ila miaka ya 90 Dunia ilikuwa na mahasimu wa soka toka nchi moja: José Roberto Gama de Oliveira “Bebeto” na Romário de Souza Faria
.
Bebeto akicheza Flamengo na Romario akiwa Vasco da Gama, timu ambazo ni mahasimu wakubwa katika mji wa Rio de Janeiro, kwetu Brazil [emoji16]
.
Bebeto alikuwa mcha Mungu, mtu wa familia zaidi, ila Romario alikuwa bishoo, mtu wa starehe sana, aliwahi kusema “mimi na Bebeto ni watu tofauti, yeye ni mtu wa familia, mimi ni paka la mtaa” [emoji16] huyo ndio Romario bwana
.
Tangu Brazil walikua wakichuana kwa magoli, Romario alisajiliwa PSV kisha Barcelona na Bebeto akienda Deportivo La Coruna ile iliyokuwa hatari
.
Walipokutana huko La Liga vita ya Pichichi Award iliendelea, alianza kuchukua Bebeto kisha Romario
.
Kombe la Dunia 1994 wakaitwa wote, Romario haishi vituko, aliita vyombo vya habari na kutangaza kwamba hatokaa pamoja na Bebeto katika ndege kuelekea kombe la Dunia
.
Romario pia aliwahi muita Bebeto “cry baby” kwamba anapenda kulilia marefa wambebe na kumpa freekick na penati
.
Ila wakaweka tofauti pembeni kwaajili ya taifa, mechi vs USA Romario anachukua kijiji na kutoa assist kwa Bebeto anafunga bao alafu akamfuata Romario na kusema kwa nguvu “I LOVE YOU” (kwenye picha ni wakati akisema maneno hayo) huku akitoa chozi la furaha kisha kumkumbatia
.
Mechi dhidi ya Uholanzi, Bebeto anafunga na kushangilia kwa style ya kumbeba mtoto baada ya taarifa mkewe amejifungua, Romario akajumuika nae
.
Bebeto alionekana kufurahi sana, tukio hili liliiunganisha Brazil mpaka kuwa mabingwa wa Dunia
.
Inaaminika hii ndiyo safu bora zaidi ya ushambuliaji kuwahi tokea. Romario anamaliza mchezaji bora wa mashindano na pia mshindi wa Ballon d’or na anayo rekodi ya kufikisha magoli 1,000
.
2002 Romario aliachwa katika kikosi cha Brazil na kocha Filipe Scolari sababu ikiwa ni kwamba 2001 aliitwa kwenda Copa America ila alimdanganya kocha anaenda kufanyiwa upasuaji
.
Akaenda zake tour na timu ya Vasco da Gama na viwanja huko Mexico, ana vituko vingi, soon nitakuja na makala yake[emoji23][emoji23][emoji23]
But all in all hongereni sana mashabiki wa Liverpool kwa kufanikiwa kuchukua ubingwa wa EPL kwa Mara ya kwanza huku wababe wenu wakibeba Mara 13[emoji123][emoji123]