Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Mahakama ya Wilaya ya Rombo yawanyima dhamana MADIWANI 3 wa CHADEMA na mjumbe mmoja wa serikali ya Kijiji cha Kirongo mpaka tarehe 05/09/2016. Hii ni baada ya Afisa Upelelezi wa Wilaya kuwasilisha mahakamani hati ya maombi ya zuio la dhamana kwa washtakiwa.
Madiwani hao ni:
1. Nicholous B. Kimario - Diwani na Mkt H/W
2. David M. Tarimo - Diwani kata ya Kingachi.
3. Anisia Amede - Diwani Viti Maalum.
4. Mjumbe mmoja wa serikali ya Kijiji cha Kirongo.
Madiwani hao ni:
1. Nicholous B. Kimario - Diwani na Mkt H/W
2. David M. Tarimo - Diwani kata ya Kingachi.
3. Anisia Amede - Diwani Viti Maalum.
4. Mjumbe mmoja wa serikali ya Kijiji cha Kirongo.